stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,975
- 4,207
Wanasema simu zinagoma kuonesha picha, hata kama unatumia data mode mtandao wowote picha zinagoma kufunguka
Au ndo yanataka kutokea yale ya Huaweli
Au ndo yanataka kutokea yale ya Huaweli
itakua kuna tatizo mahaliHata WhatsApp leo ni shida
Ndio, wala tatizo si aina ya simuitakua kuna tatizo mahali
Wanasema simu zinagoma kuonesha picha, hata kama unatumia data mode mtandao wowote picha zinagoma kufunguka
Au ndo yanataka kutokea yale ya Huaweli
Sio itel na tecno pekee ata yangu na ni Samsung pia imegoma kabisa kuonyesha profile picture.Wanasema simu zinagoma kuonesha picha, hata kama unatumia data mode mtandao wowote picha zinagoma kufunguka
Au ndo yanataka kutokea yale ya Huaweli
Hata nimejaribu kutuma picha imegoma kabisa