Wanaoingia facebook kwa kutumia Tecno au Itel

Wanasema simu zinagoma kuonesha picha, hata kama unatumia data mode mtandao wowote picha zinagoma kufunguka
Au ndo yanataka kutokea yale ya Huaweli
Sio itel na tecno pekee ata yangu na ni Samsung pia imegoma kabisa kuonyesha profile picture.
 
Back
Top Bottom