Wanaoingia facebook kwa kutumia Tecno au Itel

Wanasema simu zinagoma kuonesha picha, hata kama unatumia data mode mtandao wowote picha zinagoma kufunguka[emoji23][emoji23]
Au ndo yanataka kutokea yale ya Huaweli[emoji23][emoji23][emoji23]

Hata sisi wa bontel mambo ni hayo hayo, hata sielewi
 
Wanasema simu zinagoma kuonesha picha, hata kama unatumia data mode mtandao wowote picha zinagoma kufunguka[emoji23][emoji23]
Au ndo yanataka kutokea yale ya Huaweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio itel na tecno pekee ata yangu na ni Samsung pia imegoma kabisa kuonyesha profile picture.
 
Mimi mwenye Samsung na Mamilox wangu wenye I-phone tunaona tu kama kawa asee.!!
 
Back
Top Bottom