Wanaohitaji kuchimbiwa visima vya maji tuonane hapa

Gharama kwa Mita ni kiasi gani?

Water table ya morogoro/kiegea ni mita ngapi?
 
Mkichimba hizo mita 120 maji yakakosekana

Ikabidi muongeze urefu,hizo mita zinazozidi nani atalipia?

ikatokea mkachimba kabisa eneo langu mkakosa maji mnafanyaje?
narudia tena kuna vipimo vya maji scana hii inafanywa kabla ya kuanza kuchimba kisima na mteja ndo analipia gharama hizi kama eneo ni tata basi scana itatoa majibu mapema kama eneo ni kavu pasipo poteza gharama maisha ya sasa sio ya zamani mkuu kila kitu kubahatisha sasa hivi hakuna hii na haijawahi kutokea ila huwa inatokeaga ila pia inategemea na mtafiti alietumika kwamba elimu ya kitafuti ipo na uzoefu pia wa data

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Gharama za scana ni za Nani?
2. Je scana inatambua umbali wa water table?
3. je Kuna discount?
narudia tena kuna vipimo vya maji scana hii inafanywa kabla ya kuanza kuchimba kisima na mteja ndo analipia gharama hizi kama eneo ni tata basi scana itatoa majibu mapema kama eneo ni kavu pasipo poteza gharama maisha ya sasa sio ya zamani mkuu kila kitu kubahatisha sasa hivi hakuna hii na haijawahi kutokea ila huwa inatokeaga ila pia inategemea na mtafiti alietumika kwamba elimu ya kitafuti ipo na uzoefu pia wa data

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ukute mi sjui mita n umbali gali mfano mita 100 si sawa na kiwanja Cha mpira wa miguu afu umesema mkoani ni kwa 80k in 1 meter ina maana mita 100 ni sawa na 8m alafu uko uko mkoani mbeya maeneo ya sae ituha kisima tmechimba mita 100 for only 2.5m io ghalama ni kwa uchimbaji tu Apo nje na matengenezo mengine ukijumlsha na mashine za kupump maji sijui tank ufundi nk ilkamilika only 4m na ushee na ni less than 8 million ulioitaja mnatofautiana vipi bei zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mita 100 ni kubwa sana sanaaaaa kwa kisima cha matumizi ya nyumbani wazeeee
 
Back
Top Bottom