Wanaohitaji kuchimbiwa visima vya maji tuonane hapa

Wanaohitaji kuchimbiwa visima vya maji tuonane hapa

wachimbaji visima virefu vya maji safi na salama kwa matumizi ya nyumbani au shambani pia tunafanya surveying (tafiti kubaini uwepo wa maji ) kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia namba zetu ni 0762484200/0627431955
 
Attachments

  • FB_IMG_1578766244307.jpeg
    FB_IMG_1578766244307.jpeg
    85.5 KB · Views: 143
  • FB_IMG_1578395932300.jpeg
    FB_IMG_1578395932300.jpeg
    108 KB · Views: 123
  • forage-puits-type-artesien-grand-sud-forage-soufflage-netto.jpeg
    forage-puits-type-artesien-grand-sud-forage-soufflage-netto.jpeg
    22.5 KB · Views: 121
  • D7zDCM3W4AUBnr1.jpeg
    D7zDCM3W4AUBnr1.jpeg
    14.6 KB · Views: 127
  • bohrlochmetzger(64)111704.jpeg
    bohrlochmetzger(64)111704.jpeg
    100.6 KB · Views: 118
  • FB_IMG_1581630757790.jpeg
    FB_IMG_1581630757790.jpeg
    94.4 KB · Views: 117
  • FB_IMG_1581630747727.jpeg
    FB_IMG_1581630747727.jpeg
    101.4 KB · Views: 118
  • FB_IMG_1581630740810.jpeg
    FB_IMG_1581630740810.jpeg
    101.5 KB · Views: 117
  • FB_IMG_1581630510639.jpeg
    FB_IMG_1581630510639.jpeg
    84.5 KB · Views: 114
50k ina maana mita 100 ni 5m

Sent using Jamii Forums mobile app
haswaa na kama unabisha boss nenda pale DDCA waulize mita moja wanachaji sh ngapi ? ukishindwa leta hapa tenda hiyo hizi bei ndo za walala hoi mkuu sasa hivi watu binafsi wanamiliki visima vyao zamani visima vilikuwa vinachimbwa na wizara ya maji tu pale ubungo maji na bei zake ni matajiri tu ndo walikuwa wanachimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanaohitaji kuchimbiwa visima virefu vya maji safi kwa ajili ya mashamba au matumizi ya nyumbani tuwasiliane hapa namba zetu ni

0762484200/0627431955

ofisi zetu zipo posta mpya karibuni
FB_IMG_1581630757790.jpeg
FB_IMG_1581630747727.jpeg
FB_IMG_1581630740810.jpeg
FB_IMG_1581630932112.jpeg
FB_IMG_1581630510639.jpeg
FB_IMG_1581630801594.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ukute mi sjui mita n umbali gali mfano mita 100 si sawa na kiwanja Cha mpira wa miguu afu umesema mkoani ni kwa 80k in 1 meter ina maana mita 100 ni sawa na 8m alafu uko uko mkoani mbeya maeneo ya sae ituha kisima tmechimba mita 100 for only 2.5m io ghalama ni kwa uchimbaji tu Apo nje na matengenezo mengine ukijumlsha na mashine za kupump maji sijui tank ufundi nk ilkamilika only 4m na ushee na ni less than 8 million ulioitaja mnatofautiana vipi bei zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
huwezi chimba kisima cha mita 100 kwa 2.5 labda cha ringi cha futi 40 huko kote mashine zetu zipo na ndo zinazofanya kazi karibia Tanzania nzima huwezi chimba kisima kwa 2.5 cha mita 100 hii ni pesa ya mafuta tu ya kuchimbia mkuu labda visima vya ringi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ukute mi sjui mita n umbali gali mfano mita 100 si sawa na kiwanja Cha mpira wa miguu afu umesema mkoani ni kwa 80k in 1 meter ina maana mita 100 ni sawa na 8m alafu uko uko mkoani mbeya maeneo ya sae ituha kisima tmechimba mita 100 for only 2.5m io ghalama ni kwa uchimbaji tu Apo nje na matengenezo mengine ukijumlsha na mashine za kupump maji sijui tank ufundi nk ilkamilika only 4m na ushee na ni less than 8 million ulioitaja mnatofautiana vipi bei zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuwa uchimbaji visima upoje au umeamua kusema tu..!!?
 
Kigamboni kwa 2m wanakuwekea kila kitu, nadhani ni nje ya tank ila pampu pia vitu vingine wapata.

Gharama zao hawa jamaa hapo zimenishangaza sana, ila sishangai maana ni muda sijachimba kisima.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu bei za visima zipo kama nauli za basi au ndege ukitaka ilimradi uwe na kisima sio kisima bora mbona vishoka wapo wengi wanaorisk hii kazi ambao wanaweza kujilipua ila kwa kampuni sidhani kampuni inayojitambua haiwezi fanya kazi kimazoea au kubahatisha hiyo m2 labda mita 20 na bomba za kiboko sawa inawezekana ila si kwa kampuni labda madalali wanaweza kujilipua mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigamboni kwa 2m wanakuwekea kila kitu, nadhani ni nje ya tank ila pampu pia vitu vingine wapata.

Gharama zao hawa jamaa hapo zimenishangaza sana, ila sishangai maana ni muda sijachimba kisima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ni kisima au shimo lenye maji?

Nimesimamia uchimbaji wa kisima 2004 kwa milioni 4.Leo 2020 iwe 2m.

Bei za jamaa ni halisi otherwise uchimbe local.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom