Tanzania Group
Senior Member
- Dec 18, 2019
- 106
- 112
- Thread starter
- #41
mashine za kufanyia tafiti zipo ila uhakika wa kusema kama maji chumvi au baridi ni mdogo mno tusikudanganye mkuu kwenye suala la maji baridi 50/50Je, mna huduma ya kupima ili kujua Kwanza Kama Kuna maji ya chumvi au baridi!? Kabla ya kuanza uchimbaji??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app