Wanaoharibu Bunge ni Kina Nani?

Wanaoharibu Bunge ni Kina Nani?

Waleta fujo bungeni ni Makinda na Ndugai pamoja na Chama chao cha mafisi yasiyobakiza hata mifupa.
 
lema , lisu, ndio vinara wa kujitafutia sifa za kijinga
 
Jibu ni B,Ila pia tukumbuke kutengwa kwa vyama vingine vya upinzani kuunda kambi ya upinzani kumewafanya wafuasii wa mbowe walioko bungen kutafuta umaarufu.kushindwa kufuata utaratibu na kuheshim kiti c hekima,hata kama haki inakosekana ni vyema kufuata utaratibu.Hv sasa kikao cha bunge kinazidiwa na kikao cha darasa tena la nne.
 
Kwa hiyo unataka kutudhibitishia hapa kuwa..
Spika na Msaidizi wake ni viongozi wa vikao na wanashindwa kuvicontrol vikao hivi..
 
Kila sehemu sasa, ni mazungumzo ya Bunge na Utovu wa Nidhamu...
Kila mtu anazungumza...

Hata hapa mengi sasa ni kuhusu Bunge..
Wanaoharibu sasa ni kina nani?

A. Spika na Naibu Spika

B. Wabunge wa Upinzani

C. Wabunge wa CCM

D. Wote

Tungepata Poll hapa ingependeza zaidi...

Nchi sasa inalijadili Bunge...

B. Tena CHADEMA (wabunge vibaraka wa Mbowe na Slaa) peke yao
 
Kila sehemu sasa, ni mazungumzo ya Bunge na Utovu wa Nidhamu...
Kila mtu anazungumza...

Hata hapa mengi sasa ni kuhusu Bunge..
Wanaoharibu sasa ni kina nani?

A. Spika na Naibu Spika

B. Wabunge wa Upinzani

C. Wabunge wa CCM

D. Wote

Tungepata Poll hapa ingependeza zaidi...

Nchi sasa inalijadili Bunge...

kazi ipo
 
Back
Top Bottom