Wanaohama CCM ni vinyago - NAPE

Nape ni tatizo na ana kera sana utawaitje binadamu wenzako Vinyago kweli hapa amevuka mipaka.
 
Arusha tuliitwa panya na ocd Zuberi ikaundwa tume ya kumchunguza mpaka leo kimya...mwanza waliambiwa atawashika ukuta baada ya kumzomea, aliwahi kusema hawezi kuhamia chama cha wachaga, akawaita wanao hamia chadema mizingo mara oil chafu mara vinyango kesho sijui atawaita je..ikumbukwe huju ni kiongozi wa kitaifa ambae raisi aliwahi kusema sauti ya nape ni sauti ya kikwete inamaana maneno ya nape na matusi yte yana baraka za JK..
 

Mara Oil chafu, leo vinyago!! Afterall what is in a name?! so what? lakini kukikucha ndio atatambua kwamba majina yooote hayo ni matofali ya barafu hayajengi nyumba. Heko Nape; kwa mtindo anaoenda nao hayati Brigedia Moses Nnauye, baba yake; mtunzi wa wimbo Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote......; atakuwa anageuka kaburini! God forbid! yetu macho lakini mabadiliko ni lazima; atukane, aloge; atambikie, change is inevitable; unfortunately it is only change that will change Nape. it is just around the corner.
 
Jamani kumwabie nape hatumii akili ni kumwonea, naomba tuache. Akili mnazomshupalia azitumie hana, atafanyaje??
 
Reactions: kui
Nape ni kama kengele ya kanisani au loud speaker ya msikitini, inawaita watu wakaswali na kusali lakini yenyewe haiswali, wala mbinguni haitajwi kwenda.
 
Nape kagawe kanga kwa wanaume, ukizani watawapelekeza wake zao, kanga hizo hizo ndo zitatumika kuulia mbu wakati wananchi wanalinda kura za CDM zisiibiwe.
 

Na wanaohamia na waliopo CCM ni mapunguani wa akili maana wanadanganywa wapo tu, wanaletewa watoto wa viongozi wa chama wawatawale wapo tu hata kama viongozi wenyewe wawe vilaza kiasi gani wameng'ang'ania tu. Hao si mapunguani hao?
 
Si busara kwa mwanasiasa yeyote yule kutukana wapiga kura. Kwa namna hiyo, hata wale ambao ni wanachama wanaweza kukerwa na matusi ya mwanasiasa huyo na kuamua kukiacha chama.
Kumbe ndiyo maana 'mh'Lusinde hajachukuliwa hatua na Chama chake.
 
kuita watu vinyago sio tabia nzuri...hao ndio viongozi wetu
 
Mkuu huyo jamaa yupo kazini kuibomoa CCM,uchaguzi mkuu ukikaribia anasepa na wenzake wa CCJ. Huoni walivyo busy kuonyesha ambavyo ni wao tu ndiyo watetezi wa Watanzania?

Mkuu unaweza kuwa sahihi maana huyu bwana sasa hana simile na mdomo wake !
 

Suzie tafadhali naomba kaufafanuzi hapo penye red
 
CCm wameanza na mguu mbaya kwenye huu mkakati wa kufuta nyao za CDM kwa sababu viongozi wake wanawazidishia machungu wananchi wanaowasikiliza wanapowatukana ,kweli wanaonyesha ujinga wao
 
Mimi si CDM wala CCM au chama chochote. kwanini tusifikirie maendeleo. haya mambo ya huyu kasema hivi kasema hivi hayanatija yoyote. Sisi tunalala njaa halafu nyie mnapata luzuku. Chadema itanisaidia nini na sisiemu itanisaidia nini?

Nadhani kwenye katiba tusiwe na vyama kabisaaaaaa au siasa. haya mambo yanatuzingua. Wenyewe wanaongea tu halafu sisi wananchi tunauana. Nadhani imefika wakati tubadilike. Hawa chadema wamepata luzuku imetusaidia nini sasa? badala yake wanazunguka nchi nzima kufanya kampeni. wanatumia pesa zetu za kodi. Mimi nin hasira sana na wanasiasa. Hawana lolote!
 
Oil chafu, kinyago, Gamba, vijisenti, piga mbizi, inua pua, funga mkanda, kula nyasi, upepo tu utapita, mbayuwayu, wivu wa kike, makapi,........... hayo yote ni maneno tu yatapita. Mbona yeye kuna wakati alikuwa mwanachama wa vyama viwili ...??? CCJ na CCM. By the way Hii herufi C imeumbwa ikae kwenye vyama vya siasa? CCJ, CCM, CUF, CDM, NCCR.........
 

Unajamba maputo annael ujui uliongealo ulitaka chadema kwenye kaluzuku na wewe upewe mtaji wa nyanya? Huku unaiacha ccm na mavi-ongozi yake wanatusua tu hela zetu za kodi,madini na misaada mbalimbali nashindwa nikutukaneje utanitafutia BAN bure endelea kujamba maputo kama NAPPE
 

Hatuko hapa kutukanana ninaogea kitu mimi kama mimi. Huu ni ujinga inabidi tubadilike wote. Hawa CDM nao wanatafuta kitu. Je hata hicho kidogo walichopata wamesaidia nini jamii. Hatakujenga kinyumba cha mwalimu tu! acha kutukana bwana toa pointi sisi ni wasomi sawa?
 
Mbona siwaoni leo kina Riz wamepotelea wapi....
ningenkuwa na nafasi kweli kesho ningempelekea vinyago vingi sana pale CDM Square nimwekee pale kwenye jukwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…