Wanaofikiria Lowassa ataingia ikulu wanaumwa

Wanaofikiria Lowassa ataingia ikulu wanaumwa

Watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa Lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama Samia Suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia CCM kura nyingi mno unabisha subiri.

Ccm wakilala wanamuwaza....LOWASSA..Ccm wakiamka wanamuwaza......LOWASSA.... ccm wanahaha ka mapepo pale wanaposilia jina LOWASSA... jina peke LA kutolea mapepo ya ccm ni LOWASSA..... mashabiki wa ccm wanajua raisi ni LOWASSA.... ila Kwa kuwa bado wanamapepo ya ccm yanayowahold back wasiweze kutoka huko wanajidai wagumu...... ila kila wanaposkia jina LOWASSA moto wamabadiliko unawachoma na kujikuta wakiongea vitu visivyoeleweka........ HAKIKA LOWASSA NI KIBOKO YAO
 
Watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa Lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama Samia Suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia CCM kura nyingi mno unabisha subiri.

yaaa ni kweli wanaumwa.
tena ugonjwa unaitwa uzalendo kwa nchi yao.
 
Mleta mada na wanaompa support wameamka na hangover ya kangara.
 
Kilichoandikwa sio cha kupuuza hata kidogo, wengi mtashangaa kuona Magufuli anaibuka kidedea. Wapiga kura wengi ambao wako vijijini bado wana mahaba na CCM.
 
Haina haja ya kushindana kama Mungu kaamua Lowasa aingie ikulu ww hata ufanyeje huwez zuia...... cha msing tukutane october 25
 
Watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa Lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama Samia Suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia CCM kura nyingi mno unabisha subiri.
Sasa kama mnalijua hilo kampeni za nn? Si mngesubiri tu mkamuapishe Rais wenu? Ila ukweli ni kwamba unaonekana umeshajikatia tamaa. Kwa wale Wakristo 25/10 ni siku yakuabudu. Kabla misa ya kwanza haijatoka makanisani tayari ccm wameshagaragazwa na UKAWA. Hilo hata yule mwanao analijua hakuna ubishi tuombe uzima.
 
Tatizo la wana ukawa ni wagimu kuelewa na wepesi kusahau. Hivi mnakumbuka juzi mtu huyo Lowassa alipata wadhamini laki nane na zaidi wakati waliokuwa wakihitajika ni 450 tu. Je mbona aliangukia pua kwenye chama chake ambacho alisema mwenyewe kuwa hawezi kuhama. Hivyo vikosi unavyoviona vya Maskini Mzee huyo ni vya kusaka noti. Si unajua wengi wao wanomkubali wanatoka wapi. Mtu kama Mbatia ambaye ni mtu aliyekuwa anaaminika kuwa mzalendo, mpenda maendeleo lakini angalia alivyogeuka ghafla na kumsifia lowassa. Aisifue mvua, imemnyea. Kwa hiyo na hawa jamaa wanamsifia jamaa yao kwani amewajaza vitu. Akaunti zao zimetuna.
Sehemu yeyote ambapo matokeo yanaamuliwa kwa kupiga kura huwezi mshinda Lowassa hata JK,Mkapa,Mwinyi,Kinana na wote uwajuao wanlijua hilo
 
Ww Wa wapi? Lowassa ndiye rais wetu ajaye peleka upumbavu wako huko ao ulithani kura yako ndio itamuangusha? Watanzania tumeshaamua tunaitaji mabadiliko na safari hii tutapata kwa uwezo Wa mwenyezi mungu maana tulianza na mungu. Na tutamaliza na mungu nyie mnaotegemea kushinda kwa nguvu ya shetani subirini mtaipata hapa hakuna cha goli la mkono wala nn, MUNGU IBARIKI UKAWA MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Kwa ilivyo figisu figisu zinazoendelea kweli hawezi shika dola ya nchi mpaka saiv kuna video ya Slaa imevuja akiwa na anakabidhiwa mkwanja wake ndani ya Serena hotel ZnZ na wafanyakazi
mmmh..ya kweli hayo mkuu
 
Ndoto uliyoota leo afu ukaamkia JF itakupasua kichwa jua likitoka.Mama Samia huyu huyu aliyeahidi kilimo cha umwagiliaji cha ubuyu?
hahahahaha leo unasemaje.?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom