Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Kumeibuka na style mpya ya upongezaji kwa rais wetu Dr.John Joseph Magufuli ya maandamano ya amani.
Maandamano haya mara nyingi hufanywa kuelekea kwa wakuu wa wilaya au mikoa mara nyingi ambao kwa nafasi zao wao ni wateule wa rais.
Napenda tutoane vumbi machoni; je, hawa wakuu wa wilaya na mikoa ndio wanaoratibu maandamano haya kama njia tu ya kutetea tonge lao bila ya washiriki wa maandamano kulifahamu hili au ni msukumo wa ndani wa waandamanaji ndio huwasukuma kufanya hivi kwa mazuri ya rais wetu?