Wanaoandamana kumpongeza rais je, wanajua walitendalo au ni kwa msukumo wa wanufaika wachache?

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,599
2,000
Kumeibuka na style mpya ya upongezaji kwa rais wetu Dr.John Joseph Magufuli ya maandamano ya amani.

Maandamano haya mara nyingi hufanywa kuelekea kwa wakuu wa wilaya au mikoa mara nyingi ambao kwa nafasi zao wao ni wateule wa rais.

Napenda tutoane vumbi machoni; je, hawa wakuu wa wilaya na mikoa ndio wanaoratibu maandamano haya kama njia tu ya kutetea tonge lao bila ya washiriki wa maandamano kulifahamu hili au ni msukumo wa ndani wa waandamanaji ndio huwasukuma kufanya hivi kwa mazuri ya rais wetu?
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
27,061

Propaganda hizo ndugu. kama Twaweza walivyosema, watanzania wengi ni Wajinga, hawajui walitendalo, ni mkumbo wa ndioooooooooooooooooooooooooooooooo
 
kiduni

JF-Expert Member
Jun 26, 2015
256
250
Siasa kazini, ni moja ya mambo yanayochelewesha maendeleo unampongeza mkimbiaji kabla hajamaliza mbio sijui akishindwa kufika watasemaje...!!!!
 
Yiyu Sheping

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
1,720
2,000
Hebu tukumbushe vigezo vilivyo tumika kuwapa nafasi hizi, je kuandaa maandamano ilikuwa ni moja ya vigezo? Ili sasa tuone jinsi wanavyoitumia hii taaluma yao kivitendo. Maandamano yapo kwa sababu ni justify able kwa yanayo endelea kutekelezwa na ungozi wa sasa wa taifa letu.

Na washawasha!
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
27,000
2,000
Akili zao zimebinfsishwa, ziko kwenye kakibuyu flani hapo Lumumba, wameachiwa housing tu, kifupi hao ni makinikia .
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,495
2,000
magufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamia
1. Samaki wa magufuli alishindwa na kuliinhizia taifa hasara kubwa
2. Lugumi hiyo yeye yumo na imemshinda hawezi kujichukulia hatua
3. Kivuko kibovu alileta yeye wala hajajikamata na kujishitaki
4. BASHITE tu amemshinda sembuse Marais waliopita ambao alishasalimu amri hadi kuteua mke wa rais kuwa mbunge
5. Hajaweka mezani mkataba wa chatointernational airport???!!
6. Yeye binafsi hajaweka wazi mkataba wa bormberdier watz wanajua dili alizofanya yeye binafsi....
7. Hajaonesha hata nukta ya uzalendo kwa yale ambayo yeye binafsi ameshinikiza na kupazimishwa yafanyike.
8. Watz mtachezeshwa sn shere na ccm hukumnawalaumu wazungu na wachina kwa kiwaibia wkt wezi wenu ni ccmmnaowachekea
 
dem boy

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
2,625

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,780
2,000
Hebu tukumbushe vigezo vilivyo tumika kuwapa nafasi hizi, je kuandaa maandamano ilikuwa ni moja ya vigezo? Ili sasa tuone jinsi wanavyoitumia hii taaluma yao kivitendo. Maandamano yapo kwa sababu ni justify able kwa yanayo endelea kutekelezwa na ungozi wa sasa wa taifa letu.

Na washawasha!
Haikuwa Mona ya vigezo lakini ilikuwa moja ya makubaliano, kuwa nakuteua ila lazima ufuate masharti yangu, na Moja ya masharti yanayotolewa kwa sasa na aliyewateua ni kuratibu maandamano uchwara yenye lengo ya kuwahadaa watu eti anakubalika kumbe hamna lolote! over
 
babu maziwa

Member
Dec 13, 2016
60
125
Tupe alterative yako, mambo yangefanyikaje,? na tupeh mchango wako nchini humu umekuwa nini so far?. Tusiwe wepesi Wa kulalamika kwa kila jambo bila kuonyesha sisi wenyewe tumefanya nini? Kumbuka unapo onyesha kidole kimoja kwa mwenzio kwa lawama, vitstu vina kuonyesha wewe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom