Lekakui
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,451
- 589
Ndugu wana JF,
katika kupita pita kwangu nimegundua mambo mengi sana kuhusu hawa watu,kwanza wakiwa wanafanya kesi huwa zinachukua muda mrefu sana hadi kuja kuisha ndo wapate malipo,lakini cha kushangaza hawa watu wana hela za ajabu,kuna vijana wameanza tu juzi juzi leo ukiwaona wanatembelea magari ya bei ya ajabu kabisa,hivi for curiosity purposes hawa sio ndo vinara wa HILI JANGA tulilo nalo kwa sasa?embu naombeni maoni yenu