Wanandoa wanapochokana.

Tehe tehe tehe teheeeeeeeeeeeeee................................ hiyo ya kwanza imetulia mzee
 
mbaya sanaaaaaaa! Ooooh God wasaidie wanandoa wasichokane!
 
Kwa maana hiyo tunaochokwa ni wanawake tu! ngoja nitafute za wanaume
 
ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa ama kweli hakuna marefu yasiyokua na ncha
 
Kwa nini wanasubiri mpaka kufikia huko?
Mkichokana na kama hakuna kurudi nyuma, kila mmoja aelekee upande wake, salama u salimini.
 
Yaani hiyo ya tatu (ya kisu) ndo sijaielewa kabisaa...... yaani wamechokana siku ya kufunga ndoa........... OMG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…