Majukumu yakiongezeka sex haipewi sana kipaumbele. Ukiingia huko utapata hiyo experience, lakini wapo exceptional ambao hata kama ana majukumu kiasi gani, lazima wapeane tunda and that's really a good thing.
Hiyo ratiba kwa walio katika ndoa imetika saa sita mchana (ambao wana 10 years plus). Kabla ya hapo hata mchana huwezi jua maana anytime is tea time (kila wakati ni k time). Mnaweza kutiana mchana hata mara 10. Kwa makabila yenye kufunza ndo maana unaambiwa mwanaume haambiwi hapana. Kwa mpangilio huo mwanaume hachepuki