Wanandoa wagegedane mara ngapi kwa wiki?

Wanandoa wagegedane mara ngapi kwa wiki?

Majukumu yakiongezeka utakuja kulia humu ooo anataka tufanye kila siku
Mi nimegundua wakati mwingine haweza dhani huna nguvu za kiume kumbe maisha tu yanakaba- Huyu mpeni miaka 3 atakuja humu kutafuta ushauri na dawa kumbe akidhani nguvu zimeisha kumbe game yight tu. Maximum sio mchezo
 
KARIBU Latin chama cha watombanaji wasio na mipaka.chi vema pia ujue kuwa kuna na kupigwa vipepsi tu mpaka kunakucha.
 
Nina miaka 27 natarajia kuoa tar 2 julai mwaka huu, lkn kwa mazoea nilokua sa ivi siwez pitisha siku 2 bila kugegeda..yaan hata yeye mke mtarajiwa asipokua karbu hua nalazmika kutafta mchepuko ili kulituliza dushe

Ninachojiuliza nitatakiwa ni'sex mara ngapi kwa wiki na migegedo mingapi kwa kila cku ilopendezwa?

Naomben ushaur va'ndg vapendwa!

Kwa wiki mara 3
 
Kiafya na kuimarisha hisia na akili mara mbili kwa wiki ipo safi friday night na jpili jioni au mchana
 
Usiku unataka kugegeda, mtoto kaamuka analia usiku kucha, kugegeda sana kabla watoto awajawa na miaka 3 na kuendelea. Baada ya apo mapenzi hayanaga raha tena katika ndoa. Unamuacha mke unaenda kutafuta kiburudisho pembeni
Watu msioelewa maana ya ndoa,shame on you..unataka mtoto asilie??afe ama vipi..hujui kulea ni kazi,mchepuko ndo suluhu? Famba kbs... Mkeo na ye akichepuka je,lione
 
Mmh kwa post hii..bado nakuona mtoto...mrudie Mungu wako na endelea kujifunza ndoa na mahusiano ndo uamue kuoa....
 
Kama huyo mtarajiwa tiyari umesha muanza nadhani ikifika siku ya arusi huenda ukalala ukumbini kwani huna hamu naye. Lakini, kama hujawahi kumchovya, nakuambia mnaweza kulala njaa kwani hutaruhusu itoke humo. Kwani unafikiri wabunifu wa fungate walitaka nini??
Ila kama kuanzia uchumba hadi ndoa kila mkikutana ni kitandani ndio mnamalizia hiyo siku ya fungate ya nini?? Hiyo siku mmepewa tu leseni ya kuliendesha gari lako.
Wenye hamu ya kweli ni kila saa. Zamani kidogo ilikuwa ni marufuku kupiga hodi kwa wanandoa wapya. Kama ulitaka kitu kwao uliwavizia wakitoka kwenda chooni unamuwahi mmoja unamweleza haja yako haraka na kuondoka. Unawaachia faragha yao. Nimalizie hivi; Ni marufuku kulala na pichu au kusema nimechoka
 
Mi nimegundua wakati mwingine haweza dhani huna nguvu za kiume kumbe maisha tu yanakaba- Huyu mpeni miaka 3 atakuja humu kutafuta ushauri na dawa kumbe akidhani nguvu zimeisha kumbe game yight tu. Maximum sio mchezo
Hahahaha we muache tuu hii mambo haipaswi kushupaliwa kama makinikia
 
polee mkuu... ila mumeo/mkeo itakuwa ana kimchepuko sio bure mwezi?!!!!???
Wala hata ni uvivu tu na less interest...Ila ndio wajibu wa mke sasa af mtu anajifanya kukwepa. Napataga kwikwi sana!
 
Back
Top Bottom