Wanandoa: Upangaji wa nguo chumbani


hakuna hata haja ya chumba, kama kapange inakuaje?? Anunue la milango6 wajinafasi wote
 
strategy ambayo mm niltumia inafanya kazi mpaka sasa, niliweka kabati kubwa la ukutani (kama nyumba ni yako) na nikampatia partition 5 mm nikachukua 2 , sehemu 1 naweka nguo za juu (mashati, tshirt, vest) sehemu ingine naweka za chini (suruali, boxer, kamputula) za kutundika kama suti tuna share.
 
Mjifunze kujenga nyumba zenye walk in closet zenye ukubwa wa kutosha. Kama mmepanga chumba kimoja mkigeuze cha kuhifadhia nguo.

Lasivyo mtajikuta mnatundika nguo zenu kibarazani
 

Ngoja waje wakujibu 😂😂😂😂
 
aisee wewe ko hujamwambia mkeo unalalamika huku zungumza nae ikibid ongezen makabat...
sijalalama ....siku ukioa utaelewa nina maanisha nini?...ni zaidi ya nguo....pata maudhui...
 
Heshima kwako mkuu
Una experience na haya mambo..
 
Nunua kabati kubwa la ngua. Zako zitenge na za kwake. Ukiona bado anakufuata, kila unapotafuta zako changu changua na za kwake. Atakuhama.
atanuna wiki....
 
Inafaa lijadiliwe maana linatugusa wengi, chumba kinakuwa min store! Khaaa!

Naam ni la jf.....ni la kijamii zaidi au we wadhani ni la wapi?.............
Ukishagundua tatizo ndio mwanzo wa kuanza kulitatua, hivyo basi ni kuwa na masterbedroom kubwa yenye kabati kubwa kulingana na mahitaji yenu au kama ni kabati la kawaida siku zote kwenye kabati lazima kuwe na kiongozi ambae kazi yake ni kufanya arrangement, in this case huyo huyo mwanamke unamwachia jukumu yeye atajua namna ya kuzipangalia hizo nguo zenu
 
Ndugu wazo lako zuri sana...Ila..cha ajabu..ataanza kidogo kidogo kuweka nguo zake kwako.....
kwa mfano...week end nguo zimefuliwa utashangaa kwake kumeshajaa..halafu chache za kwake zimo eneo lako.....utavumilia...lakini ujue ndio mwanzo wa kumpisha......
 
Aisee kuna issue ya sox,utatafuta unapata rangi tofauti...kwa hali hii bora nijipangie mwenyewe kuokoa muda wa kudamka usubuhi...
 
Chumba na sebule tena ya kupanga walk in closet inatoka wapi. Hayo ndio maisha wengi wetu.

 
Nimesahau kabisa zoezi la kupanga nguo maana sina sehemu maalumu ya kuziweka kila siku nahama kama mkimbizi nimejiamulia kuvuruga tu utaratibu ila tatizo akisafiri natamani kupaa maana bila kumpigia simu anielekeze hakika navaa sox tofauti nimejikuta nimerudi utotoni kwa kutegemea kuambiwa kipi kiko wapi kisa ni yeye kumiliki kila sehemu haa haaa nshawahi kumuuliza "ivi tunawindana?"maana kila nikihamisha nguo zangu ananifata wakati nna vishati na suruali vichache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…