Wanandoa:..najua wengi hatufanyi..

asante sana,mungu akulipe kheiri
 
kwan wazinz hawasali/kuswal au kuomba kulingana na iman husika?
 
Tendo la ndoa linafanyika either usiku mnapokuwa mnaenda kulala au mchana. kwa sisi, huwa kila usiku tunasali kabla ya kulala, na mara zote huwa tunaombea kila kitu kitakachofanyika usiku huo, na asubuhi huwa tunasali na kuombea shughuli zote za mchana, kazi, shule......, na hiyo kazi inclusive.
 
Kama wewe muislamu soma hili dua; Bismillah, Allahumma jannibna shaytan wa jannibi shaytana maa razaqtana....Yani kw kiswahili unamuomba mungu akukinge na shaytan kiumbe amabcho atakupa. :cool2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…