Wanandoa:..najua wengi hatufanyi..

asante sana,mungu akulipe kheiri
Ni vyema kuomba dua kwa sisi waislamu mume anatakiwa asome dua ifuatayo"bismillah,allahuma janib-nas minal shaitwan wa jannib-nass minal shwaitan ma razaktana" tafsiri yake"ewe mwenyezi mungu tuepushe na shetani ktk tendo hili na ukiepushe na shetani kitu utachoturuzuku(mtoto)
 
Katika imani zetu, kuna namna mbalimbali za kusali/kuswali/kuomba kulingana na imani husika. Kutokana na misingi ya imani zetu, huwa tunaomba kwa ajili ya vitu mbalimbali mfano: kufaulu mitihani, kupata mke/me mwema, kupata kazi/cheo, kabla/baada ya kula, n.k. Kwa wanandoa "halali" kuna jambo wanasahau kufanyia maombi (inawezekana 98%). Jambo ninalozungumzia ni kuomba kabla na baada ya tendo la ndoa maana lile ni tendo takatifu. Je, wewe unafanya hivyo?
...
NB: Hii ni kwa wanandoa halali tu. Haiwahusu waofanya uzinzi!
kwan wazinz hawasali/kuswal au kuomba kulingana na iman husika?
 
Tendo la ndoa linafanyika either usiku mnapokuwa mnaenda kulala au mchana. kwa sisi, huwa kila usiku tunasali kabla ya kulala, na mara zote huwa tunaombea kila kitu kitakachofanyika usiku huo, na asubuhi huwa tunasali na kuombea shughuli zote za mchana, kazi, shule......, na hiyo kazi inclusive.
 
Kama wewe muislamu soma hili dua; Bismillah, Allahumma jannibna shaytan wa jannibi shaytana maa razaqtana....Yani kw kiswahili unamuomba mungu akukinge na shaytan kiumbe amabcho atakupa. :cool2:
 
Back
Top Bottom