Wanandoa:..najua wengi hatufanyi.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanandoa:..najua wengi hatufanyi..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SI unit, Mar 15, 2012.

 1. S

  SI unit JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Katika imani zetu, kuna namna mbalimbali za kusali/kuswali/kuomba kulingana na imani husika. Kutokana na misingi ya imani zetu, huwa tunaomba kwa ajili ya vitu mbalimbali mfano: kufaulu mitihani, kupata mke/me mwema, kupata kazi/cheo, kabla/baada ya kula, n.k. Kwa wanandoa "halali" kuna jambo wanasahau kufanyia maombi (inawezekana 98%). Jambo ninalozungumzia ni kuomba kabla na baada ya tendo la ndoa maana lile ni tendo takatifu. Je, wewe unafanya hivyo?
  ...
  NB: Hii ni kwa wanandoa halali tu. Haiwahusu waofanya uzinzi!
   
 2. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Duh..... hii kali. lakini nimeipenda coz hata kwenye bible nimeiona lakini nafikiri wengi hawaombi kabla ya tendo la ndoa. ngoja nijiandae ili nikioa niwe naomba kabla ya tendo la ndoa
  thanks
   
 3. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Sory, sipo kwenye ndoa ila napenda kujua kwa hao wenye ndoa wanakuwa wanaombea hilo tendo au inakuwaje?
   
 4. S

  SI unit JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .
  Vizuri kijana!
   
 5. S

  SI unit JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .
  Nashangaa hawaji..
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Duh . . . . . .
   
 7. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwa wanaofanya vitatu wataomba mara sita
   
 8. S

  SI unit JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .
  Duh imefanyaje
   
 9. S

  SI unit JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .
  Hapo ni kama wakipendelea kuomba na kushukuru kila kabla na baada ya 'mtanange'!
   
 10. P

  Paul mathew JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hv hujamfikisha mwenzio kileleni hayo maombi yatakuwa na upako?
   
 11. P

  Paul mathew JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Itakaswe vijidudu viondoke!
   
 12. S

  SI unit JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .
  Na mapepo yashndwe
   
 13. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Madhumuni ya maombi ni utakaso wa kitakachojaliwa na tendo hilo, huwezi fanya maombi na changudoa. Lazima iwe mali yako by law.
   
 14. S

  SI unit JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .
  Thats why the message is for those married official
   
 15. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mmh kunakuomba kweli wakati mahamu yamenipanda! labda baada ya tendo!
   
 16. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #16
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Ni vyema kuomba dua kwa sisi waislamu mume anatakiwa asome dua ifuatayo"bismillah,allahuma janib-nas minal shaitwan wa jannib-nass minal shwaitan ma razaktana" tafsiri yake"ewe mwenyezi mungu tuepushe na shetani ktk tendo hili na ukiepushe na shetani kitu utachoturuzuku(mtoto)
   
 17. S

  SI unit JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .
  Basi yakupasa ubadilike..lol
   
 18. S

  SI unit JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .
  Ishaalah ustadh!
   
 19. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #19
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Once in life time inatosha. Nilioomba siku ya mwanzo hivyo sasa naendelea tu!
   
 20. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #20
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Sio ustadh ni ukhty
   
Loading...