Wanandoa mnijibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanandoa mnijibu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PetCash, Jul 26, 2012.

 1. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hali zenu ndugu zangu wote?
  Poleni na swaum kwa wengine wetu tuliomo,
  Kwa kuwa ndo naingia huku kwenye uwanja wa walio na ndoa naomba kuuliza swali kwa wale kina mama na kina baba wenye uzoefu wao...
  Hivi ilishafikia kipindi ukamchoka mwenzio kabisa?
  Sizungumzii kutalikiana ama kuchukua uamuzi wa kuomba/kutoa talaka nazungumzia Moyo wako umefika mahali ukamchoka kabisa
  yani (From the bottom of your heart you disdain them totally)
  How did you ever get past that?
  I appreciate your help.
   
 2. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hizi kesi zipo...na mara nyingi mazingira ndio huwa yanachangia japo inakua ngumu mtu kumwambia mke/mume "nimekuchoka" ila wengine wanajua tu hapa mzee kuna dalili ya kuchokana
  Ila kuna wengine wanaishi vizuri sana, kuna mama mmoja nilikua nafanya nae kazi ofisi moja umri wake ni 55-60 wanavyoishi na mume wake unaweza fikiri ndio kwaaaaaaanza wanatongozana. very nice couple,
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,902
  Trophy Points: 280
  aisee PetCash hizi moments zipo ila ukitaka kuona upendo unarudi tena fanya haya
  1) give her a space, waweza kuchukua likizo ukasafiri hata kwenda kijijini kwa wazazi ama yeye akachukua likizo ama pia ukatafuta safari ya kikazi just to give her a space. hii itakufanya ummiss na mara nyingi sana ingependeza kama mke akisafiri wewe ubaki home alone pakuboe ndipo utakapo feel why she should be there.

  2) pendelea kumpa mwenzi wako nafasi ya kutoka na marafiki ambao si wewe ili muda ule anapotoka wewe umkose kidogo tena akuachie vijikazi kama mtoto hivi anyehitaj attention

  3) toka na mkeo nyie wawili tu nendeni mahali hata kama hamna hela ya kuspend kwa makubwa but mkae nje ya nyumba kwa masaa kadhaa ili pia muwez kuona wenzenu wakoje

  4) anza utaratibu wa kuflirt na mkeo hasa mchana ili ummiss na utamani kumwona

  5) mweleze mwenzi wako yale unayoyapenda sana like kama hair style waweza mbadilisha at least once in a week ili awe mpya.

  6) usipende kuwa na jicho la lensi bali uwe na jicho lenye kuona mazuri tu hasa wakati kama huu ili usimchukie zaid. jicho lenye kuona mazuri liko established katika kuappreciate kila anachokifanya hasa menu na usafi wa house na anapopendeza.
  7) kama vp jion umerud baada ya kuwasimamia kids h/w wachukue to a next grocery or ice cream parlor ili uwaentertain na kuwa karibu na familia through kids. mara nyingi sana akina mama huwa tunapenda baba alkitoka na watoto kwenda nao huko hata kama watamletea zawadi ya pringles lakn kwa mama imerudisha upendo sana na pia itamfanya anapobaki home aandae menu safi sana ambayo mtafurahia. this real works a lot.

  anyway hii ni kwa staila yangu so wengine wanaweza kuongezea na si kanuni tafadhali.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Rapunzel

  Rapunzel JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,089
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  me ndoa yangu bado changa kabisa haijanitokea hali kama hiyo na naomba isinitokee kumchoka mume wangu
   
 5. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  hmm hii mpyaaa, mfanye mpya au mfanye kama unamwona leo il uteitetee ndoa yako
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Sijui kwa nini naona uvivu kuchangia!
   
 7. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 998
  Trophy Points: 280
  hebu imagine ukichoka sehemu ya mwali wako mf. Mkono,kiuno n.k unafanyaje?ndo hivyo hivyo
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Nina longway kufika huko.....watakuja wenyewe waliochokana au tuwaite kwa majina?
   
 9. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,667
  Likes Received: 2,147
  Trophy Points: 280
  me liked it!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Kwani ndoa yako ina wiki ngapi bro?
   
 11. k

  kisukari JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,763
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  hawatosema jf.kila mtu atakanusha humu
   
 12. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  ow my mademoisele, am just lovin u!
   
 13. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mi naona tuwaite kwa majina ili tushauriane cha kufanya...
   
 14. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli I have much respect for you mwalimu gfsonwin- This helps a lot

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ni bora tusemezane ili tujue jinsi ya kusaidiana kwenye swala hili
   
 16. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  FYI : Mkuu kuna watu waliochukia baadhi ya sehemu za mwili wao na wakazifanyia matengenezo ambayo baadaye yalikuja kuwagharimu na kuwafanya wasifurahie maisha. So what do you suggest?
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  gfsonwin, ukimaliza hapa uje unipe ushauri.
  Hivi mume siwezi kumpa talaka rejea? Dini hairuhusu? (Mbu, nasubiria na wewe ushauri wako)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,902
  Trophy Points: 280
  teh teh teh teh mbavu zangu jamani! lol..........

  da king'ast siku hizi mbonanao tunafungisha virago? kama ni seoaration beba wewe nguo zako chapa lapa niache mimi na wanagu humu ndani na hili halihitaj mjadala kwani hata humu ndani tulipo hakuna mwenye haki zaid ya watoto so nikikuboa ondoka wewe tuache na wanangu..................lol siwafundish jeuri jamani
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  The truth is...for some people, many people....mapenzi huisha! Si kwa sababu hakupenda kwa dhati, si kwa wanaume, wala si kwa wanawake...huisha tu, iwe kuna sababu au hakuna sababu! Thats the ugly truth.

  Na yanapokwisha, wengi wetu (hasa kwa desturi za kiAfrica, or rather...kiTanzania) kila mtu atakushauri uvumilie, wakati wenzetu wa magharibi wanakubaliana na ukweli huo na kuachana kwa amani tu. Sisi kujifanya kuvumilia ndio inapelekea visa, manyanyaso, vipigo, na kusalitiana (ku'cheat')! Na ndio maana rate ya gender/home based violences ni kubwa kwa sehemu/nchi zenye desturi hii ya kila mtu kukuambia 'vumilia'...badala ya kukuambia ukweli...'anza kivyako' and love again!

  Hayo yote uliyoweka hapo juu ndio desturi yenyewe ya kuvumilia...ni kama unajaribu kuziba mto kwa ukuta, matokeo yake maji yanajaa zaidi na kuwa na nguvu zaidi...na outcome yake inakuwa mbaya zaidi kwani yakivunja huo ukuta yatatoka kwa kasi kubwa zaidi...huko kwenye kuvumilia ndio unakuta watu wanatendana to the extreme...mpaka unasikia mume kaua mke kwa mapanga, sijui mke kafanya nini...why wait to that point? Upendo wako kwa mtu fulani (hata kama ni mume/mke) ukiisha...haina maana hautaweza love again! Take your chance..move on..let yourself free to love again. Thats make life interesting and worth living..badala ya kuishi kwa taabu kisa unavumilia!
   
 20. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,441
  Trophy Points: 280
  Kwanza kabisa hali hii inatokana na kuwa na matarajio ya hali ya juu kabisa kutoka kwa mwenza (uliyaona kabla hamjaoana). Mkishaoana mnapata muda wa kusomana vyema na kuona mengi ya uliyoyatarajia yalikuwa ni ndoto za mchana; unaface ukweli halisi wa mwenzio. Hapo ndipo unapohisi kumchoka mwenzio kwani hapati yale uliyoyategemea na mengine unaoyaona kero.

  Cha kufanya ni kujibidisha katika mambo ya familia, kujitahidi kuspend muda mwingi pamoja. Kama hakuna ugomvi au kutoelewana, interest itarudi baada ya muda. Hili tatizo linawakuta wengi na bila kujijua linawavaa kwa either kuacha au kuchelewa kuliface hadi linapoota mizizi. Hakikisha humwonyeshi dharau na huanzishi mpango wa kando.
   
Loading...