Wanandoa mnawezaje kuvumiliana kwenye hii hali?

Wanandoa mnawezaje kuvumiliana kwenye hii hali?

natamani niendeleze
unga tu maana kuna raia imetoa povu nimeona screenshot kwenye group flani ni hatari.
IMG-20200914-WA0000.jpg
 
Kuachana isiwe kigezo cha kuchafuana kwa maneno ya hovyo maana kuna leo na kesho. Hii tabia ya kuchafuana ni mbaya sana hasa kwa wale ambao wamezaa pamoja, athari yake huwa mbaya zaidi kwa mtoto kama mzazi mmoja atajitahidi kumuaminisha uongo dhidi ya mwenzie.

ila hivi mtu unawezaje kumsema mtu uliyekua unalala nae mnadinyuana hiyo guts ya kusema ni kibamia sijui blah blah hua inatoka wapi mweee
 
uwiii aibu naona mimi huku 🤦🏾‍♀️

ila huu ni utoto na ulimbukeni tena sio wanawake tu hadi wanaume pia unakuta anakazana mara mtu mwenyewe gogo sijui bwawa aah jamani
Mambo ya kishamba sana.
 
Kwa mfano mume na mke mnalala kwenye chumba cha self, choo humo humo ndani, mkeo au mmeo akienda kukata gogo mnavumilia vipi hiyo harufu mbaya? Mwenzi akitoka chooni?

Au mnalala kitanda kimoja, mmoja wenu ajambe usiku half uko macho, hio harufu mbaya mnaivumiliaje?
Namna ya kukabiliana na hizo changamoto utaijua siku ukioa......

Na haiwezi kufanana kati ya couple moja na nyingine....na ndiyo maana hakuna chuo cha mapenzi au ndoa..
 
ila hivi mtu unawezaje kumsema mtu uliyekua unalala nae mnadinyuana hiyo guts ya kusema ni kibamia sijui blah blah hua inatoka wapi mweee

Binadam tumetofautiana sana kuna watu hawana aibu wala huruma hata chembe, haofii chochote kukuvua nguo hadharani akidhani kuwa anajiridhisha au kukukomoa.
 
Teh teh! Sijawahi kuwa na tabia mbovu kiasi hicho....

Nishawahi kumtetea Ex kwa rafiki angu aliposema all men's are trash. Nikamwambia yule wangu alikuwa a man and half ni mimi tu ndiyo nilikuwa mchokozi waii niliishia tu kuambiwa sumu ya mapenzi bado haijaniisha kumbe wala ni vile kwenye nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi nk
salute
 
Kwa mfano mume na mke mnalala kwenye chumba cha self, choo humo humo ndani, mkeo au mmeo akienda kukata gogo mnavumilia vipi hiyo harufu mbaya? Mwenzi akitoka chooni?

Au mnalala kitanda kimoja, mmoja wenu ajambe usiku half uko macho, hio harufu mbaya mnaivumiliaje?
Mawazo ya kijinga sana haya!!!
 
Sijaolewa lakini kuna kipindi nilikua nikienda kwa ex wangu hata nikae wiki sibanwi na haja kubwa lakini the moment nikifika tu mlango kwangu sijui ilikua inatoka wapi 😂😂😂 Anyways nilitaka kuchangia tu na mm... ila if I was married or living in ntakua na poo mda bae hayupo nyumbani
 
Sio kila mtu ni mpenzi wa hizo air freshener. Bora vile vya toilet ambacho chenyewe ni unaning'iniza toilet tu kinavuta harufu... Air freshener za kupuliza wengine wana allergy na manukato.
Sasa ukorofi huo madam
 
Huu uzi umeletwa namwananchi mnyonge kwelikweli ila kwasasa anauelekea uchumi wakati ndio anawaza jinsi yakuishi nahuo uchumi wakati....
 
Ushuzi wa bae haunuki.

Kama unapuu nnya inanuka sana hapo ni wewe tu na matatizo ya mlo wako usifikiri binadamu wote tuko sawa...
Ni kwel,niliwah kupanga chumba ambacho kpo Karbu na choo Kuna binti mmoja mzuri alkuwa akiingia choon wakat huo naosha vyombo nje ya chumba changu Karbu na choo lakin nilikuwa sihisi harufu yoyote mbaya,ila mim nilikuwa nikiingia ilikuwa n balaa ila ukiwa hunywi maji sana unakunya mav yanayonuka sana
 
You said it all, sijui binadamu tunakwama wapi.

Nakazia hapo kwenye assessment ya break ups 😆😆 mfano: Mwanaume kaachwa na Asha kisa Asha alikuwa anapenda pesa na ye anajua fika nimeachwa sababu me mchoyo/ bahili sitoi hela lakini badala abaki single mpaka atakapojirekebisha ye anaenda kwa Maimuna yanamkuta yale yale mwishowe aje kuwapa lawama wanawake kuwa wanapenda pesa kumbe tatizo ni yeye aliingia sehemu asiyoiweza.

Tukija kwa wadada me sisemi 🙌🙌😆😆
Wanaume wenzangu huwa nawashangaa,akiwa na vipesa vchache atanunua passo,vitz au ist Yale mahummer na mengine yenye gharama anayaacha lakin kwa mwanamke anataka amilik yoyote hajui kuwa wanawake nao n kama magar lipo la vbosile na lipo la mwalimu wa msingi
 
Hawa watoto wapelekwe Facebook huku wanajaza saver tu, hilo swali amuulize baba yake au mama yake
 
Ukikumbuka kiapo cha shida na Raha..harufu yote unaisahau..unaweza jikuta unataka kuingia alipo mkapige Mambo yenu burudaani..kale kaharufu unaiona vanilla hii hapa😋
 
Ukiacha na mwenza wako halaf ukawa unamuombea mabaya hii itakutesa kila hatua yake moja itakua inakuumiza lakini ukimuombea mema na akifanikiwa haitakutesa sana kwa sababu utaamini dua zako zipo pamoja nae

Sent from my SAMSUNG-SM-G935A using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom