Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,173
- 190,741
Assessment ni muhimu sana na matatizo mengine ni ya kujitakiaga.You said it all, sijui binadamu tunakwama wapi.
Nakazia hapo kwenye assessment ya break ups 😆😆 mfano: Mwanaume kaachwa na Asha kisa Asha alikuwa anapenda pesa na ye anajua fika nimeachwa sababu me mchoyo/ bahili sitoi hela lakini badala abaki single mpaka atakapojirekebisha ye anaenda kwa Maimuna yanamkuta yale yale mwishowe aje kuwapa lawama wanawake kuwa wanapenda pesa kumbe tatizo ni yeye aliingia sehemu asiyoiweza.
Tukija kwa wadada me sisemi 🙌🙌😆😆
Unaanzaje kumpenda golddigger/slayqueen ikiwa hela huna😂



