Wanandoa Kulala na Night Dress

Wewe umesema....ni kweli uliyosema....! Bila kugusana,kupeana joTo, hiyo si haki na si Uanandoa......😱
 
we yaani kuna sehem nimekuona unamwambia mtu umpeleke
sijui umpeleke wapi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
I hope sio kumpeleka kilele cha mlima kilimanjaro,

heeee wapi apo? hebu nipe link leo nimepost sana humu lol
 

Mwali, si nimekwambia urudi ndani jamani! mda wako bado,
 
"Babu" Asprin na "mchumba wangu" Mtambuzi, busara zenu zinahitajika katika uzi huu.
 
Wewe wa jana nin?

jamii nyingi za kiafrika ziko hvyo! Jaribu kufatilia mila na desturi za makabila mbali mbali hapa tz utaelewa.
Ni kweli familia nyingi za kiafrika ziko hivyo. Mama hufanya kuwatoroka watoto usiku na kumfuata baba. Asubuhi sana baada ya kumalizana, mama hurudi kwa watoto.
 
Ni kweli familia nyingi za kiafrika ziko hivyo. Mama hufanya kuwatoroka watoto usiku na kumfuata baba. Asubuhi sana baada ya kumalizana, mama hurudi kwa watoto.
Mmmmmh! hili kwangu naliona jipya kabisa, labda mimi uafrika wangu ni nusu!
 
Nashauri siko za period aongezee short jeans na siku za kawaida ajiachie
 
Mmmmmh! hili kwangu naliona jipya kabisa, labda mimi uafrika wangu ni nusu!
Njoo kwetu utaona..! Mama anapata dose mara moja kwa mwezi tena kwa kuvizia kimoja cha fasta akiwa amesimama au kubend watoto wasisikie na kurudi kibandani kwake fasta,
 
Njoo kwetu utaona..! Mama anapata dose mara moja kwa mwezi tena kwa kuvizia kimoja cha fasta akiwa amesimama au kubend watoto wasisikie na kurudi kibandani kwake fasta,
Kwa maana nyingine hapo night dress haina matumizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…