Wanandoa: Angalia hizo picha

Zote tunatumia kasoro tisa...na mahusiano yetu ivyoivyo😀
 

ha ha haaaa inaonekana ulishindwa kumpasha joto; baridi limemfanya ashindwe vibaya! hata kwenye kamela hakuonekana loh, majanga. Pole bana!

Inabidi tupeane pole wote unafikili hapa angepenya kweli unamcheki huyo mtoto huyo tabasamu linaashilia kweli yaliomo yamo.HUYU NA 6 HAPO JUU HALALI YAKE KAMA NIKIPATA NAFASI HA!HA! SIRI YAKO SASA MAANA WE NAE UKAWII KUNILIPUA.
View attachment 114622
 
Yangu haipo... mzungu wa nne, tano na sita...!
 
View attachment 114499

kuna hii pia niliiona mahali sijui ila inaitwaje ,ila na yenyewe naiona nzuri pia inaonyesha wanandoa hawa wana upendo

bado ndani ya ndoa yao.

...asante sana Blue G

...labda angalia kwenye hizi hapa, utajua ya kwako inaitwaje!



 
Yangu haipo... mzungu wa nne, tano na sita...!

..ha ha ha ha haaaa... mshana jr

...chagua kati ya hizi hapa...

A.


B.



C.



D.



E.



F.




G.




H.




I.




J.



K.




L.




M.
 
Mie napita ngoja nisubiri wataalam kin Heaven On Earth [Hoe] ama jembe letu MMU

...haaa! Usipite... "mwenda bure, si mkaa bure..."

...chagua' angalau kati ya hizi...

A1.



A2.



A3.



A4.



A5.



A6.



A7.



A8.



A9.



A10.



A11.




A12.




A13.
 
naona inafanana na ya THE PURSUIT sema hapa imekuwa viceversa kidogo mwanaume ndo kamhug mwanamke..
...asante sana Blue G[/img]

...labda angalia kwenye hizi hapa, utajua ya kwako inaitwaje!



 
Hako ka namba nne bibi yenu anakapendaga sana.

Hako kanamba sita kananihusu kwenye mechi za majaribio .

Msimwambie bibi yenu tafazali.

...loh! Mkuu! Kumbe na ww unacheza AWAY mechi! ...
Mechi za ugenini unatumia JEZI ipi?
 
hahaa number 6&7 inanikumbusha siku ya kwanza kushare bed with my Man looh........

Ile post yako nyingine imenichekesha mno....mzembe kaa miwani ya Mugabe hahahaaaaa nimeongeza kwenye kamuc yangu ya ma2c, atakayenikera tu nampa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…