Kwa shughuli yangu hii ya ukonda kila siku kudandia na kuning'nia garini, kupayuka wakati wa kuita wateja na kubamiza bamiza gari...mimi na mke wangu tumeamua kulala hili poziii maana mwanzoni mwanzoni mwa ndoa nilikuwa nampa vibao vya kutosha mai waifu wangu tukiwa usingizini....