Wananchi wenye hasira waua kibaka Yombo Vituka

Wananchi wenye hasira waua kibaka Yombo Vituka

Atakua hajawahi kuibiwa maana iliujue limit ya hasira yako subiri uibiwe hapo ndipo utakapoona ubaya wa kibaka.

Kweli mkuu inawezekana mwenzetu ni wale watoto wa kota...hawajawahi kukumbana na roba za mbao....
 
Kiukweli dawa ni hiyo tu,hawa watu wanakosesha amani,wakikamatwa wapigwe viberiti tu labda ndio wataacha!
 
Huku ni yombo vituka. Taarifa jioni hii zinasema kesho ndo mazishi na panya road wameahidi kuja kuzika. Kulikuwa na mtu wa baiskeli pale leo alikuwa ananoa shoka,mapanga na sime za wananchi. Me kesho sifungui kabisa biashara! Mchana kulikuwa na mkutano kwa ajili ya patrol wenye biashara za usiku wameambiwa mwisho saa 4 usiku.

Pamoja sana mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom