magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,339
Nimepita hapo yombo vituka maarufu kwa chande wananchi wamemuua kibaka usiku huu.
Tahadhari;nawasihi police kuimarisha ulinzi eneo hilo baada ya mazishi ya huyo kijana. Mara nyingi kumekuwa na kasumba anapouwawa kibaka,waliobaki hujikusanya na kwenda kumzika kibaka mwenzao. Police waanze kwa kuzuia Uhuru wa vibaka kuzikana maana wanapotoka huko ndipo uhalibifu wa mali za watu hujitokeza.