Wananchi wenye hasira waua kibaka Yombo Vituka

Wananchi wenye hasira waua kibaka Yombo Vituka

Yaani hao wapuuzi wananyima watu raha kiasi hicho?

Wow!

Hakuna kitu cha kushangaza hapa NN , panya road kusumbua kwenye nchi yetu na polisi kujificha ni kitu ambacho hakitushangazi ila ingekuwa nchi zenu tungeshangaa, ni kama vile tibaijuka prof alivyogoma kujiuzulu .ingekuwa kwenu ni impossible tena kwa profesa.
In short hakuna kitu cha kushangaza na usishangae huo mtaa wenye panya road ccm walishinda na watashinda kw akishindo uchaguzi ujao.
Thats Tanzania.
 
Kama ulishawai kuibiwa ndo utajua hasira waga zinatoka wapi
 
Yombo vituka eneo linalofahamika km"kwa chande" jana usiku wananchi walimuua kibaka ambae siku 2 kabla ya jana alimkaba Dada mmoja akampora simu kisha akamchoma bisibisi kichwani mara 2,yule dada aka-bleed bila msaada na alipofikishwa hospital ya wilaya ya temeke akafariki dunia!..

Police walifika na kuuchukua mwili wa kibaka kwa uchunguzi na taratibu za ki-police. Inasemekana police wameruhusu mwili wa huyo kibaka kesho uzikwe..
Zipo taarifa kwamba panya road wamejiandaa kuzika wenyewe na baada ya kuzika wamepanga kulipa kisasi!

Baada ya wananchi kupata taarifa hizo,wamejiandaa kikamilifu kupambana na panya road,wamekusudia kuteketeza kabisa hilo kundi. Toka mchana hadi usiku huu,wamefanya maandalizi ya kutisha,na km police chang'ombe watapuuza bandiko hili,na panya road kweli watekeleze azima yao,kesho huenda jiji likashuhudia mauaji ya kutisha!! Wito wangu kwa police,wasiruhusu hao wahuni hata kwenda kuzika. Narudia tena wananchi wamechoka na haya matukio. Km police hawaamini waende pale kwa chande wakathibitishe nilichoandika hapa.

Nawasilisha..!!

Yaani hao wapuuzi wananyima watu raha kiasi hicho?

Wow!

Huko ulipo mkuu mambo haya utayasikia tu. Unabahati sana ☺

Kwa tuliosoma Development Studies, kwa sasa tunaingia kipindi cha ubepari ambapo kuna a direct class strggle kati ya the haves and the have nots.
Katika hii struggle nguvu ya polisi haitasaidia sana mpaka hapo the have nots nao watakaposhirikishwa katika kufaidika na maendeleo ya jamii.

Na hili ndio bomu lenyewe a,balo limekuwa likiongekewa kwa miaka sasa kutokana na kutoshughulikiwa na matatizo ya kushirikisha vijana katika mipango ya maendeleo.
 
Hakuna kitu cha kushangaza hapa NN , panya road kusumbua kwenye nchi yetu na polisi kujificha ni kitu ambacho hakitushangazi ila ingekuwa nchi zenu tungeshangaa, ni kama vile tibaijuka prof alivyogoma kujiuzulu .ingekuwa kwenu ni impossible tena kwa profesa.

"nchi zenu" ndo zipi na ni za akina nani?

In short hakuna kitu cha kushangaza na usishangae huo mtaa wenye panya road ccm walishinda na watashinda kw akishindo uchaguzi ujao.
Thats Tanzania.

Hapana, hao wahuni na matendo yao wasichukuliwe kuwa ndo kawaida. Kama wewe umeamua kuwachukulia kawaida, sawa. Mimi hilo nalikataa na nakataa wao kunipangia namna navyoishi.
 
Kwa tuliosoma Development Studies, kwa sasa tunaingia kipindi cha ubepari ambapo kuna a direct class strggle kati ya the haves and the have nots.
Katika hii struggle nguvu ya polisi haitasaidia sana mpaka hapo the have nots nao watakaposhirikishwa katika kufaidika na maendeleo ya jamii.

Na hili ndio bomu lenyewe a,balo limekuwa likiongekewa kwa miaka sasa kutokana na kutoshughulikiwa na matatizo ya kushirikisha vijana katika mipango ya maendeleo.

Martial law itatumika tu.
 
Nimepita hapo yombo vituka maarufu kwa chande wananchi wamemuua kibaka usiku huu.
Tahadhari;nawasihi police kuimarisha ulinzi eneo hilo baada ya mazishi ya huyo kijana. Mara nyingi kumekuwa na kasumba anapouwawa kibaka,waliobaki hujikusanya na kwenda kumzika kibaka mwenzao. Police waanze kwa kuzuia Uhuru wa vibaka kuzikana maana wanapotoka huko ndipo uhalibifu wa mali za watu hujitokeza.

Mkuu ubarikiwe kwa kutimiza wajibu wako kama raia mwema, wasiwasi wangu ni kama polisi nao watatimiza wajibu wao na kwa muda muafaka. Kimsingi hicho ulichokifanya ndiyo hasa moja ya majukumu yao kupitia kile wanachoita "intelijensia" .
 
"nchi zenu" ndo zipi na ni za akina nani?

Hapana, hao wahuni na matendo yao wasichukuliwe kuwa ndo kawaida. Kama wewe umeamua kuwachukulia kawaida, sawa. Mimi hilo nalikataa na nakataa wao kunipangia namna navyoishi.
Na hiki ndo wananchi wamekataa! Watu wameshinda wananoa shoka,panga nk. Kesho me hata biashara sifungui..!
 
"nchi zenu" ndo zipi na ni za akina nani?

Hapana, hao wahuni na matendo yao wasichukuliwe kuwa ndo kawaida. Kama wewe umeamua kuwachukulia kawaida, sawa. Mimi hilo nalikataa na nakataa wao kunipangia namna navyoishi.
Kwani wanakupangia kwa kupenda? Ni lazima.
 
Ndiyo maana yake. Polisi wakishindwa kulinda amani nchini jeshi litashika tu.
Njia ya kistaarabu zaidi ni kuwapa hao vijana ajira ili washiriki katika maisha endekevu.
Polisi au nguvu itawaimarisha tu kuingia criminal gangs.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom