Wananchi wavamia North Mara, mmoja auawa!

Kama RH170 na RH120 nazo zimeharibiwa vya kutosha, basi mjue hawa jamaa wako kwenye matata, na uchimbaji utakuwa umeathirika kwa kiasi kikubwa.
 
Iliyoharibika ni mitambo michache sana ulkilinganisha na mashine walizonazo, nimeshawahi kutembelea mgodi huo na nikaangalia shughuli zao kwa siku tatu mfululizo, hawataathirika sana
 
Back
Top Bottom