Wananchi wasikitishwa na yaliyomkuta Mange Kimambi, wataka kumchangia.

ze kokuyo

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
7,418
9,599
Watu wengi wameoneshwa kusikitishwa na jambo lililomkuta Mange Kimambi kuhusu kupigwa mnada kwa Hoteli ya familia yao ambayo Mange anahisa 25%.
Kwa kuonyesha masikitiko yao juu ya jambo hilo, watu wengi wamemuomba Mange atoe namba ya Akaunti wamchangie ili aweze kulipa deni wanalodaiwa.
Je, hii inaonyesha ishara gan. Ni kwamba Mange anakubalika sana au?
 
Huyu demu ame-control mind za watu wengi kumbe hivyo doh

Ndio maana gwajima amekuwa tajiri wa kutupwa sababu hiyo

Mfano walio control mind za watu wakatajirika

1.mzee wa loliondo
2.Manyau nyau
3.Gwajima
Na saizi Mange loading...

Subiri na mimi nianzishe jambo la kucontrol mind za watu nianze kupiga pesa
 
Ni rahisi eeh..!?
 
Makonda pia
 
Mbona umesahau kushangaa na bashite alivoshikilia mind ya mtu.

Pia hushangai ccm ilivyokupumbaza kabisaa
 
Mtetea wanyonge, anathubutu kusema wameanzisha chokochoko, mbowe nae kila siku anafuatwa fuatwal
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…