Wananchi waomba mchanganuo wa matumizi ya pesa za Mzee Sabodo anazowapa Chadema

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,940
32,343
Wanabodi.

Mzee Sabodo akitoa hundi kwa viongozi wa Chadema, wananchi wanahoji hizo pesa anazotoa Mzee Sabodo mpaka sasa hivi zimeishafanya kazi gani katika chama, au zimeelekezwa katika miradi gani wananchi wanaomba mchanganuo wa hizo pesa ili wafadhili wengine wajitolee kuchangia chama.
DSC_9455.JPG

sabodo.jpg
SabodoMbowe.jpg

106526237.jpg

DSC00634.JPG

_MG_0736.jpg
 
unataka wakajenge madarasa? mbona huulizi mchanganuao wa zile 112m anazochukua lowasa na rostam pale tanesco kila siku ambazo amewanunua watanzania wote awe rais, ikiwa ni pamoja na wewe?
 
when a puppet meet with a parrot .... they make noice with senseless voice
 
Wananchi wa wapi waliokutuma?.,
Wewe ni mwakilishi wa ngazi gani kwa hao wananchi?
Kawaonyeshe ofisi za makao makuu wapewe mchanganuo, hapa mtandaoni unapoteza wakati v.
Besides, lete matumizi ya pesa mnazowatoza wafanyabiashara nyakati za uchaguzi.
 
nape unahitaji mchanganuo wa matumizi ya fedha anazowalipa ku-post upuuzi jf
 
modes,naomba isomeke hivi tafadhali"ritz aomba matumiziya pesa za mzee sabodo anazowapa chadema kwaani roho inamuuma"
 
Wanabodi,
Wote tuna uchungu na nchi yetu tupambane na ufisadi mbona watanzania humu JF wanahoji kuhusu pesa za EPA, Kagoda, pesa za Uswisi, kwa ni hamtaki wananchi wahoji pesa za Sabodo.
 
SAM_2988%25255B4%25255D.jpg

waambie hao wananchi 2015, ndio watajua hizo pesa zilitumika vipi... kwa sasa ni kutoe elimu ya uraia,
wakishajitambua ndio utajua ok hivi Ritz na Pitz ni pacha?
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,
Wote tuna uchungu na nchi yetu tupambane na ufisadi mbona watanzania humu JF wanahoji kuhusu pesa za EPA, Kagoda, pesa za Uswisi, kwa ni hamtaki wananchi wahoji pesa za Sabodo.
Hebu tuanze kumuhoji huyu jamaa yako, ni kwa nini amezungukwa na Wazungu tupu na hakuna hata mswahili mmoja? yaani mtu anauza nchi kama ya kwake !? Pyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
View attachment 67620
 
Tumenunu toyota hilux double capin maarufu kama (M4C Jeep) 10, tumeongeza sound sisitimu 4 pamoja na magari yake 2 zimeishaingia mbili next wiki zitatinga pale holili maada huko dar port tumekwepa urasimu.
Tumenunu nyumba na viwanja Dar, arusha, mwanza, shinyanga, dodoma, mbeya kwa ajili ya ujenzi wa ofisi kuu za chama katika maeneo husika pamoja na kujenga vyuo mbali mbali vitakavyotoa elimu ya uongozi uadilifu na uzalendo.

Zilizobaki tumenywea! unasemaja sasa??? au u natakaje????
 
Wananchi wa wapi waliokutuma?.,
Wewe ni mwakilishi wa ngazi gani kwa hao wananchi?
Kawaonyeshe ofisi za makao makuu wapewe mchanganuo, hapa mtandaoni unapoteza wakati v.
Besides, lete matumizi ya pesa mnazowatoza wafanyabiashara nyakati za uchaguzi.

Mkuu wewe unapohoji pesa za Chenge, nani alikutuma? si umetumia uhuru wako wa kidemokrasia.
 
01.jpg

haraka ya nini? 2015 siyo mbali! mambo yanaonekana nyie vipi?
Wana NyinyiEm mmewaambia matumizi ya pesa za parking na maduka ya Nyinyiem?
 
Pesa za epa mremeta kagoda bot ziko wap? Wananchi wanahoji na wanaziitaji kwenye miradi na zinafanya nini mpaka sasa? Na balali kafufuka wanahoji pia!
 
Wanabodi,
Wote tuna uchungu na nchi yetu tupambane na ufisadi mbona watanzania humu JF wanahoji kuhusu pesa za EPA, Kagoda, pesa za Uswisi, kwa ni hamtaki wananchi wahoji pesa za Sabodo.
Ritz, kwani pesa za EPA, kagoda, pesa za Uswisi zote zilitolewa na Sabodo?
 
Hebu tuanze kumuhoji huyu jamaa yako, ni kwa nini amezungukwa na Wazungu tupu na hakuna hata mswahili mmoja? yaani mtu anauza nchi kama ya kwake !? Pyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
View attachment 67620

Anzisha thread, saizi tumejikita kwenye hundi za Sabodo zinatumikaje.
 
Back
Top Bottom