Wananchi waomba mchanganuo wa matumizi ya pesa za Mzee Sabodo anazowapa Chadema

Mitihani ya Form four imeanza leo, sasa kama hamjarekebisha matatizo ya shule zinazomilikiwa na misikiti tatizo litabaki pale pale wakati wa kutangazwa matokeo, ni kidedea kwa shule za kanisa. maana watu wa kanisa hawana muda wa kupika majungu kama wewe kutwa kucha huko hapa kueneza fitina tu. nimetoa angalizo tu.
 
Mvua kubwa sana inanyesha hapa Jengo la Hali ya Hewa kama walivyotabir. Vipi huko kwenu jamani!
 
Anzisha thread, saizi tumejikita kwenye hundi za Sabodo zinatumikaje.
Mimi siwezi kuanzisha thread kama sina jambo la maana la kushare na Members, ndio tofauti yangu na wewe, maana wewe ukilala ni Chadema ukiamka ni Chadema na hata ukijamba ni Chadema!! sasa hii biashara usidhani kama kila mtu anaiweza.
 
Mvua kubwa sana inanyesha hapa Jengo la Hali ya Hewa kama walivyotabir. Vipi huko kwenu jamani!
Ina maana wewe na akili zako unategemea utabiri wa hali ya hewa wa nchi hii? ni bora hata uangalie CNN.
 
....Alikuwa akitoa pesa hata kwa magamba pia...ulishawahi kuomba mchanganuo wa pesa alizozitoa kwa magamba? Omba kwanza mchanganuo wa pesa za Sabodo zilizoenda kwa magamba, mchanganuo wa pesa zilizoenda kwa CDM tuachie wanaCDM tukiutaka tunaujua wapi tutaupata mchanganuo huo.
 
Wanabodi,
Wote tuna uchungu na nchi yetu tupambane na ufisadi mbona watanzania humu JF wanahoji kuhusu pesa za EPA, Kagoda, pesa za Uswisi, kwa ni hamtaki wananchi wahoji pesa za Sabodo.

Wananchi wa kijiji/Kata/Tarafa/Wilaya/Mkoa gani hao wanaodai mchanganuo wa pesa?
 
Hivi wanao hoji ni wananchi au wana sisimweli?
Mtumeni CAG akague! Au mwambie Nape akaongee na waandishi wa habari.
Wananchi wana uliza eti tanzania hakuna farasi mpaka mkulu aende canada kupanda farasi?
 
Viongozi wa Chadema wanamuangusha huyu Mzee Sabodo, toka aanze kutoa pesa hakuna hata kisima kimoja kilichochimbwa.
 
Mkuu wewe unapohoji pesa za Chenge, nani alikutuma? si umetumia uhuru wako wa kidemokrasia.
Nasikia zimetumika vibaya kabisa, moja ya matumizi mabaya kuliko yote ni kuchochea vurugu katika chaguzi za ndani ya CCM.....si umeona vijana wa UVCCM walivyotwangana mangumi kule Musoma, au zile ngumi pale Dar na vile vile kule Arusha si uliona zilivyo wachanganya vijana mpaka kumfananisha mwenzao na mlinzi wa kamanda Mbowe? basi subiri taarifa zaidi...... hii ilikuwa kutoka taarifa za kiintelijensia......
 
Wanabodi.


Mzee Sabodo akitoa hundi kwa viongozi wa Chadema, wananchi wanahoji hizo pesa anazotoa Mzee Sabodo mpaka sasa hivi zimeishafanya kazi gani katika chama, au zimeelekezwa katika miradi gani wananchi wanaomba mchanganuo wa hizo pesa ili wafadhili wengine wajitolee kuchangia chama.
DSC_9455.JPG


sabodo.jpg
SabodoMbowe.jpg


106526237.jpg

DSC00634.JPG

_MG_0736.jpg

kama ifuatavyo:-kununua malori ya LAKE OIL ili kusambaza mafuta kwenye vituo vyote vya LAKE OIL,vinavyo milkiwa na riz one.
Pia kuwekeza kwenye kilimo ili waweze pata mahindi ya rushwa kwa wananchi kama ilivyokuwa igunga mbaka ikafikia hatua tukachuka jimbo chini ya dr.dalali peter kafumu.
Mchanganuo mwingine utapewa na wadau wengine.
 
Mkuu hujaiona post ya lipumba nini? Umeamua uje na ya kuzugia nzuri nayo lakini.
 
Viongozi wa Chadema wanamuangusha huyu Mzee Sabodo, toka aanze kutoa pesa hakuna hata kisima kimoja kilichochimbwa.
Nadhani nyingine alitumia Dr kulipia posa kwa Mama Junior
 
Hivi hizo pesa zinakaa kwenye account ya nani Mbowe au Dr Slaa, hao ndio wapokea hundi zote.
 
Wanabodi.


Mzee Sabodo akitoa hundi kwa viongozi wa Chadema, wananchi wanahoji hizo pesa anazotoa Mzee Sabodo mpaka sasa hivi zimeishafanya kazi gani katika chama, au zimeelekezwa katika miradi gani wananchi wanaomba mchanganuo wa hizo pesa ili wafadhili wengine wajitolee kuchangia chama.
DSC_9455.JPG


sabodo.jpg
SabodoMbowe.jpg


106526237.jpg

DSC00634.JPG

_MG_0736.jpg

wananchi wa lumumba!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom