Wananchi Wanapochoka kuonewa na CCM

Wananchi Wanapochoka kuonewa na CCM

Mbaya zaidi wananchi wako zaidi 20 halafu huyo sijui ndiye nani vile yuko peke yake,alishazoea ananyatia,anajilimbikizia na kujilia taratibu,this time majamaa yameamua kumkomalia,nakwamba anakimbia huku anasikia harufu ya kifosijui 2015!!!!!!yangu macho.
Mwigulu huyo! Lol! Kumbe anafani nyingi hata kwenye riadha yumo!
 
Mwenye hasira sana huyo ni KIBANDA sijui kama MWIGULU atapona dah!
 
923443_10151566882443535_87824441_n.jpg


Kunaye somo zuri hapo kwa magamba. Wamemtoa porini wanamtimlia peupe sasa sijui ataokokea wapi. Live 2015 CCM watakimbia Nchi, haitakalika kwa mafisadi na Walanguzi hawa.
 
Nakumbukia yule kijana wa chadema alieenda kuweka bendera ya chadema kwenye mkutano wa magamba afu huyo anaemkimbiza ni yule aliekuwa amebeba jiwe na huyo wa pembeni tena ni rage,.
 
Back
Top Bottom