Hapo2 hawajui waende wapi kwani chadema tegemezi na matumaini yao yalipoegemea ndiko mauaji yanakotengenezwa dhidi yao katika staili kuwatoa sadaka kwa ajili ya wachache.
Hapa kuna kazi kweli kweli,na ukishaona hali imefikia hivyo ujue mtu anakufa,hakuna mzaha hata kidogo,mbaya zaidi anaokimbilia hakuna pa kuvukia,sijui na kama hali ikiendela kuwa hivi sijui kama huyo jamaa atavuka hilo eneo 2015.
Mbaya zaidi wananchi wako zaidi 20 halafu huyo sijui ndiye nani vile yuko peke yake,alishazoea ananyatia,anajilimbikizia na kujilia taratibu,this time majamaa yameamua kumkomalia,nakwamba anakimbia huku anasikia harufu ya kifosijui 2015!!!!!!yangu macho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.