Msemakweli kuonewa inauma sana!

Msemakweli kuonewa inauma sana!

Hayo ndio matokeo ya kufuga majambazi , utafuga majambazi kupambana na watu kuna siku majambazi hayo yakimaliza kazi uliyowatuma yanakugeukia wewe.


Gp4URv1XwAE6Ed3.jpg
 
Hayo ndio matokeo ya kufuga majambazi , utafuga majambazi kupambana na watu kuna siku majambazi hayo yakimaliza kazi uliyowatuma yanakugeukia wewe.


View attachment 3694578

Lakini leo ni tarehe 20 October 2026. Uhai ni zawadi ambayo ni Mwenyezi Mungu anatupa. Kwanini uue sababu ya kulazimisha kuendelea kutawala au kuwa na madaraka? Maisha yetu chini ya jua sio marefu hivyo.

Ukianza kuua unategemea utaacha nini nyuma yako? Furaha? Au chuki na visasi? Huyu aloiyemuandikia Fr. Kitima, I hope yeye hata panadol haonji maana amejipa status ya kuwa Mungu. Mwenye uwezo wa kuua
 
View attachment 3694546
Nimeona mwananchi huyu huko kanda ya ziwa akilalamikia kuonewa.
Nimeitazama hii clip na machozi yamenilenga.

Mikoani miungu watu ni wengi.
Viongozi tumwogope Mungu.
Na hivyo anaongea kama Lisu ndio kabisaa watamuona ni mpinzani.

Hata hivyo Wapinzani hawatakiwi kufanyiwa hivyo.

Watu wenye pesa sio Waziri wengi wao ni majambazi na wazurumaji.
 
Lakini leo ni tarehe 20 October 2026. Uhai ni zawadi ambayo ni Mwenyezi Mungu anatupa. Kwanini uue sababu ya kulazimisha kuendelea kutawala au kuwa na madaraka? Maisha yetu chini ya jua sio marefu hivyo.

Ukianza kuua unategemea utaacha nini nyuma yako? Furaha? Au chuki na visasi? Huyu aloiyemuandikia Fr. Kitima, I hope yeye hata panadol haonji maana amejipa status ya kuwa Mungu. Mwenye uwezo wa kuua

Si unaona watu ambao anaandamana nao, hawa watu wanapewa "kinga" na kuambiwa usijali tutakulinda ila baadae kazi ikiisha wanageuka na ipo siku majambazi waliyofuga CCM yatarudi kuwashugulikia.

GqBuApWacAAfb7e.jpg
 
Back
Top Bottom