<br />kuna mtu kaniambia Jk na Bendera ni ma school mate*2.sasa kwa vyovyote vile huwezi mtosa koligi wako bana!!!
Waswahili wanasema kenge huwa asikii, na ukitaka kenge asikie inabidi umtandike mpaka damu zimtoke maskioni ndo atasikia. Mda wa kuwatandika CCM ni 2015 kupitia sicret balot.
That is what he showed people in Mbeya with appointment of Mwakipesile as the regional commisioner for the last five years after he lost in the elections for parliamentary seat for Kyela in the same region. Even when his motorcarde was stoned and his entrouged stoped by disatisfied wananchi(pale Mwanjelwa) he could not get it...His actions indicate that Mr President is either having Incompetent or Many advisors. It is imposible to process advice if is coming from multiple unclassified sources.Raisi mwenyewe yuko against wananchi, sasa atachaguaje wanapendwa na wananchi?
Inaonekana huyu mshkaji ma koligi wake wote ni vilaza.
Hii ina maana gani, katika uteuzi wa wakuu wa mikoa, kuna baadhi walikosa ubunge mwaka jana. Hii ni ishara kuwa wananchi walipima utendaji kazi wao na kujiridhisha kuwa upo chini then wakawatema.
Kikwete ameamua kuwarudisha tena serikalini kwa kuwapa ukuu wa mkoa au wilaya, hii inaonyesha kuwa wananchi walikosea.
Je aliyeshindwa ubunge ataweza ukuu wa mkoa au wilaya.?.
Uadilifu wao uko wapi?.
Waswahili wanasema kenge huwa asikii, na ukitaka kenge asikie inabidi umtandike mpaka damu zimtoke maskioni ndo atasikia. Mda wa kuwatandika CCM ni 2015 kupitia sicret balot.
hawa ni makada wa chama ndiyo maana kipindi cha uchaguzi waliambiwa atakaye kosea jimbo likaenda upinzani he/she will suffer aidha waulize CHADEMA sababu zilizo wafanya wamubuluze DC wa IGUNGAkwani wanaenda kukitumikia chama au wananchi.