EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 8,558
- 12,683
intelijensia inaonyesha hivi karibuni CCM inapanga kuwatoa kafara wakazi wa kigamboni ili mzame majini kuweni makini
Nipo rafiki, nimekumiss pia ,habari ya siku?Upo bibiye? Nimekumiss!!!
Duh, basi kama ni kweli 🙌 poleni kwa usumbufumakusudi, imecherewa kutoka na tulvofka upande wa 2 kagoma kutushusha
Nipo rafiki, nimekumiss pia ,habari ya siku?
Hee usijali nimefika Hellen wako nipo hapa😀😀 , nambie sasaNzuri rafiki. Nilikua nakaribia kukuanzishia uzi kama ule wa Hellen wa Duse!!!!!
Kule darajani unavuka utakavyo,
Ukivuka kichura chura,kinyumenyume,unakimbia au unatembea mwendo wa haraka.
Unavuka kwa dakika zako pendwa.
Ningekuwa mm ili kuwakomoa jioni ningepitia Daraja la Nyerere,sipendagi ujinga wa hivyyo mimi.[/QUOTE
Kule kuna tochi ya 30 KPH
ni sababu alivyofika upande wa pili alikataa kushusha mlango raia ndo wakaanza kupiga kelele
Kwenye msafara wa MAMBA na KENGE wamo! Hao watenda kazi hapo Kigamboni wachunguzwe, inawezekana wanatumiwa na akina "Amsterdam".Dunia ina mambo, pantoni jipya la MV Kigamboni, limeendeshwa taratibu kisa watu wamelikimbilia na kukwepa MV Magogoni.
Yaani ety mtu unamkomoa abiria, tasisi za watu jamani, msiwe na viburi, sasa mlitaka kusababisha vurugu, na maandamano, mtu unamcherewesha makusudi kisa kakimbilia kivuko.
ombeni yasimfkie mkuu wa nchi, pantoni limetoka kivukoni saa 12:49 limefika ferry (Kigamboni) saa 1;37, yaani dk. 40+ ile sehemu ni ya kuvuka dk.40 kweli.
Acheni viburi, msichezee kazi za watu