Wananchi wakomolewa kwa kukimbilia kivuko kipya cha MV Kigamboni

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Dunia ina mambo, pantoni jipya la MV Kigamboni, limeendeshwa taratibu kisa watu wamelikimbilia na kukwepa MV Magogoni.

Yaani ety mtu unamkomoa abiria, tasisi za watu jamani, msiwe na viburi, sasa mlitaka kusababisha vurugu, na maandamano, mtu unamcherewesha makusudi kisa kakimbilia kivuko.

ombeni yasimfkie mkuu wa nchi, pantoni limetoka kivukoni saa 12:49 limefika ferry (Kigamboni) saa 1;37, yaani dk. 40+ ile sehemu ni ya kuvuka dk.40 kweli.

Acheni viburi, msichezee kazi za watu
 
kwani mv kazi...haipo siku hizi...?
kipindi natumia sana hivyo vivuko mv kazi kale kadogo dogo ni mwendo wa dkik 3 tu
kivuko.jpg

..ila li mv magogoni ni dakika 7....

maxresdefault.jpg
 
Mv. Kigamboni sio mpya! Ilikuwa kongwe! Tena enzi hizo tulikuwa tunaikwepa tunapanda Mv. Magogoni!
 
Dunia ina mambo, pantoni jipya la MV Kigamboni, limeendeshwa taratibu kisa watu wamelikimbilia na kukwepa MV Magogoni.

Yaani ety mtu unamkomoa abiria, tasisi za watu jamani, msiwe na viburi, sasa mlitaka kusababisha vurugu, na maandamano, mtu unamcherewesha makusudi kisa kakimbilia kivuko.

ombeni yasimfkie mkuu wa nchi, pantoni limetoka kivukoni saa 12:49 limefika ferry (Kigamboni) saa 1;37, yaani dk. 40+ ile sehemu ni ya kuvuka dk.40 kweli.

Acheni viburi, msichezee kazi za watu
si mlisha ambiwa km hamtaki "pigeni mbizi" achaneni na vivuko vyao,sasa unakuja kulalamika hapa si tukudaidiaje?.
 
Kule darajani unavuka utakavyo,
Ukivuka kichura chura,kinyumenyume,unakimbia au unatembea mwendo wa haraka.
Unavuka kwa dakika zako pendwa.
Ningekuwa mm ili kuwakomoa jioni ningepitia Daraja la Nyerere,sipendagi ujinga wa hivyyo mimi.
 
si mlisha ambiwa km hamtaki "pigeni mbizi" achaneni na vivuko vyao,sasa unakuja kulalamika hapa si tukudaidiaje?.
Kauli Ya Mtoaji Mwenye Kisirani, Bado Yupo Anatazamwa, Mwaka Huu Sasa Atakwenda Kigamboni
 
Dunia ina mambo, pantoni jipya la MV Kigamboni, limeendeshwa taratibu kisa watu wamelikimbilia na kukwepa MV Magogoni.

Yaani ety mtu unamkomoa abiria, tasisi za watu jamani, msiwe na viburi, sasa mlitaka kusababisha vurugu, na maandamano, mtu unamcherewesha makusudi kisa kakimbilia kivuko.

ombeni yasimfkie mkuu wa nchi, pantoni limetoka kivukoni saa 12:49 limefika ferry (Kigamboni) saa 1;37, yaani dk. 40+ ile sehemu ni ya kuvuka dk.40 kweli.

Acheni viburi, msichezee kazi za watu
Picha iko wapi?
 
Ndio shida ya kiherehere, Kapteni angekuwa ni mvuta bangi kama mimi sasa hivi wengine mngekuwa mnacheza na samaki, wenye kujua kupiga mbizi mngekuwa kwa millard ayo mnasimulia.
 
Back
Top Bottom