Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Jamani.
Ifike wakati tujue tunamuita Mungu kwa Maana gani.
Syria tatizo lililipo sio la kiimani bali Uongozi ndio tatizo.
Bila shaka wanakula walitarajia.
Maana familia ya Bashar al Assad. imeiongoza syria nusu karne iliyopita ili hali wasiria wengine pia wana uwezo wa kuongoza.
Wakulaumiwa ni Bashar al assad na vibaraka wake ktk mataifa kadhaa ya kiarabu.
Umoja wa mataifa umeshindwa kuingilia mzozo wa syria kutokana na kiburi cha Urusi na China.

mambo haya ndio yawapayo point wapinga mungu,vipi yatokee akingali yupo na anaona ikiwa ana ukuu usio mfano.pole sana binaadamu yeyote utesekaye popote ulipo
ALLAHUMA INII AUDHUBIKA MINAL JUUI FAINAHU BIISWA DHWAJIU, WAADHUBIKA MINAL KHIYANA FANNAHA BIISATWIL BITWANA
Mola atuepushe