Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,462
ni shilingi ngapi? mimi kama mwanambeya naamini naweza kulipia yote peke yangu! manake hamchelewi kufungua vikesi vya kipuuzi ili mradi mbunge wangu asipate muda wa kunihudumia!Sugu anatakiwa kukatwa mshahara wake ili kufidia hasara aliyelitia Bunge kwa kuvunja microphone kwa makusudi.
Sugu anatakiwa kukatwa mshahara wake ili kufidia hasara aliyelitia Bunge kwa kuvunja microphone kwa makusudi.
Mods msiunganishe huu uzi.
Pamoja na udharirishaji aliofanyiwa mbunge wa mbeya mh.joseph mbilinyi na askari wa bunge kwa amri ya naibu spika ndugai bado wananchi wa mbeya wana imani kubwa na mbunge wao mh.sugu.
Wakiongea kwa nyakati tofauti tofauti kwa njia ya simu,sms,mitandao ya kijamii na mahojiano ya ana kwa ana wananchi hao wa mbeya wameonyesha kusikitishwa na ubabe usiokua na 'akili' uliofanyawa na askari wa bunge kumburuza sugu kama mharifu ilihari yeye 'sugu' ni mbunge aliechaguliwa kwa kura za kishindo na wana mbeya.wananchi walienda mbali zaidi na kusema wanasuburi kwa hamu uchaguzi 2015 waichakaze ccm kwa aibu...."unajua sisi watu wa mbeya tuna akili hatukukosea kumchagua mr 2 (sugu) ngoja 2015 tutawaonyesha ccm kua sugu ndie rais wa mbeya"....alisema mmoja wa mwananchi kutoka mwanjelwa mbeya.
mh.sugu alitolewa nje ya bungu na askari kufuatia kitendo chake cha kuzuia kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni KUB mh.mbowe asitolewe nje ya bunge km ilivyo amriwa na ndugai naibu spika wa bunge.
Usidanganye umma bwana.
JF si kikao cha siasa mbofu mbofu.
Actuaaly wananchi makini wa Mbeya wamekasirishwa sana kwa Sugu kudhalilisha ubunge wa Mbeya Mjini.
Na kama wahenga wasemavyo, usirushe jiwe sokoni-waweza kumpiga mama yako.
Askari aliye pigwa na Sugu jichoni anaitwa Cpl. Nikwisa Nkisu, umipata hiyo?
Kwa jina tu unajua anatoka wapi.
Itabidi Sugu wenu aende kijijini kwao kujieleza kwa kumpiga kijana wao "akimtetea" bosi wake Mbowe bungeni.

Maweee!!Tuna imani nae sana mbunge wetu.....kuhusu kulipa kama itahitajika mimi miss strong nitalipa,mkuu GreenCity niachie mie hilo deni uchwara!!!!!
Sugu anatakiwa kukatwa mshahara wake ili kufidia hasara aliyelitia Bunge kwa kuvunja microphone kwa makusudi.
Maweee!!
Lipa kwanza umemba hapa JF tukuelewe.
Usidanganye umma bwana.
JF si kikao cha siasa mbofu mbofu.
Actuaaly wananchi makini wa Mbeya wamekasirishwa sana kwa Sugu kudhalilisha ubunge wa Mbeya Mjini.
Na kama wahenga wasemavyo, usirushe jiwe sokoni-waweza kumpiga mama yako.
Askari aliye pigwa na Sugu jichoni anaitwa Cpl. Nikwisa Nkisu, umipata hiyo?
Kwa jina tu unajua anatoka wapi.
Itabidi Sugu wenu aende kijijini kwao kujieleza kwa kumpiga kijana wao "akimtetea" bosi wake Mbowe bungeni.
Sugu anatakiwa kukatwa mshahara wake ili kufidia hasara aliyelitia Bunge kwa kuvunja microphone kwa makusudi.
Watu wa jimbo la Mbeya mjini ni visionaries, hawawezi kuyubishwa na nyie sympathisers wa magamba kwa vile mnalishwa na hicho chama!! Endeleeni tu kujikomba huko lakini mmekwisha tambulika unafiki wenu na mwisho wenu hauko mbali.
Amezaliwa miaka 67 ilopita ni mtoto wa 2 katika familia yetu. Alibahatika kusoma elimu ya watu wazima akiwa na miaka 49. Ni kwamba ikishafika miezi kama hii akili yake huwa haitabiriki kabisa. Jina lake halisi ni MAKOPO lakini yeye mitaani anajiita ZE MARCOPOLO. Jaman kwa niaba ya familia tunaomba msimchukulie vibaya hata njaa kali imechangia ukichanganya na uzee ndo basi tena.Huwa nataman sana nijue umri wako ili nilinganishe na maoni unayotoa hapa jukwaani!
Seriously ningepata detalis zako ningefurahi sana
Du, Bulesi, nilikuwa naku hold in high esteem kutokana a michango yako humu jamvini, but this contibution is low, too low.
Mbeya mjini visionaries eh!
Watu karne hii kuna nyumba za udongo kati kati ja jiji!!!
Na mbunge wenu kilaza amehamasisha watu kwa vipi na hiyo vision unayoiona wewe!!
Come on , a limited vision from yourself is more or less myopic.
You seem not to note that you are in a hole, and all what you can see is the rot around you, and your representative does not have the slightest idea how to go about solving the problems-that is apart from stupidly picking up a fight with the law!
Tembea muone hata nji hii, leo Bukoba ina mpango maalum wa kuendeleza mji uwe wa kisasa, kwa kupitia mipango hii hii ya serikali. Huku kwetu Sugu yuko busy kupigana na polisi bungeni.
And you have the nerve to say you are visionaries!
Visionaries my foot!!