Wananchi wa Iran waandamana baada ya Serikali kukiri kuitungua ndege ya Ukraine

Maandamano yamesababishwa na nini kwanza?
Me naona wana andamana cjui shida nn ila wana uhuru wakuandamana sababu ni taifa pekee lakidemokrasia pale mashariki yakati kwahio wananchi wameandamana kutimiza haki yao yakikatiba


Nb:Muda wowote ubaloz wa UK Unaweza Ukapigwa Loki Maana Jamaa Maandamano Yamemgeukia Hawamtaki Nchini Mwao Kama Walivyomkataa Yule Wa US Mwaka 1979

Lazma Wawe Naheshma Lasivyo Watakamatwa Kama Panzi na wataiacha IRAN Ikiwa Salama Kabisaaa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ni Maandamano uchwara tu ni genge la wahuni wachache tu ambayo yameandaliwa na agents wa nje mmoja wap ni balozi janakakamatwa na mwengine ni babu chizi amepost uko Twitter kusapoti Hawa agents wake.
Wa Iran 82 millions wapo pamoja na serikali Yao hawasumbuliwi na hii trap ya mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Viandamano vilivyopo hata haviitetemeshi serikali bana

Yaani watu walokua mazikoni kwa soleiman wana ingia zaidi ya mara Mia Kwa hawa vibaka waloandamana

Ila kwakua ni taifa lakidemokrasia wamepewa uhuru na haki yao yakikatiba yakuandamana

Ila wasithubutu kuleta upuuzi wao wakuanzisha vurugu kwamaana watateseka mnooo


Nb:jana kuna watu wali andamana huko mbele ya balozi ya US wanataka jamaa asepeshwe nchini mwao maana ana ingilia sana mambo ya IRAN Halaf Kile Kijamaa Kinaonekana Kishushu kile kipuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom