Wananchi wa Iran waandamana baada ya Serikali kukiri kuitungua ndege ya Ukraine

Hahaha we jamaa na haka kapicha kako ni universal kwa kila uzi wa iran?

Hii nadhani pia ina-qualify kua kila uzi au unaonaje?

Wamarekani weusi kapicha kanawaumiza eeh,hahah.

Screenshot_2020-01-11-08-11-29-1.jpeg

dodge
 
Naona wapenzi wa Iran mnapoteza muda tu. Iran soon inaelekea kuwa Libya au Misri. Tayari Iran imeshaingia choo cha kike

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi sio mpenzi
Natoa maoni tu
Wazungu sio wajinga kwa kuanza tu vita
Vita sio lelemama
Leo sisi ile vita ndogo tu ya Uganda bado tunatibu majeraha ya uchumi
Sasa hawa wanaotumia billions za $ kuendesha huu ubabe unafikiri kikinuka ni Iran tu ndio atapata hasara?
Ndio maana diplomasia inaongelewa zaidi ya vita

Ukitaka ushabiki wa kijiweni sawa acha tubishane tu lakini ukitaka tuongee uhalisia na tunaojua madhara ya vita na kuingia pia huo ndio ukweli

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mm nasisitiza jeshi halina kosa, wenye kosa ni walio iruhusu ndege kupaa wakati jeshi lilisha onya kitu chochote kisipae angani mpaka litakapo toa hakikisho kwamba anga ni salama.

Na mke wa pilot mmoja wapo alihojiwa na reporter mmoja akmwambia uliongea na mme wako kabla ya safari?
Akasema nilimkataza na kumwambia sio salama lakini akasisitiza ya kuwa lazima aende na asipoenda nani atafanya kazi yake
Na huo ndio mwisho wake
So sad

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wapenzi wa Iran nawaona mnavyotapatapa. Mkuu sahau kuhusu iran,tayari imepatikana,imeshaingia kwenye target. Soon itakuwa kama Libya

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo ikiwa kama Libya wewe USA watkuuzia jeans kwa sh 2000 ama
Hujui kuwa machafuko yakitokea huko na wese kwenye daladala itapanda na wewe utalipa nauli ya ziada?
Muwe mna angalia matukio yaliyopita bila ushabiki na maneno ya bla bla tu
Sukari ikifika elfu 10000 ndio utajua

Kwa hiyo unanishaurije mkuu?. Nifuate nyayo zako,nimshabikie Iran ksbb ya Jean's? Ksbb ya nauli ya daladala?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unanishaurije mkuu?. Nifuate nyayo zako,nimshabikie Iran ksbb ya Jean's? Ksbb ya nauli ya daladala?

Sent using Jamii Forums mobile app

Una uhuru wa kushabikia kokote unakoona ni sawa
Hata mpira hujaona anaesema leo tumemsajili mchezaji mpya kwa £40m wakati hata kadi hana na hajui uwanja upo mtaa gani?

Ushauri wangu ni kwamba usiwe shabiki tu wa kufurahia au kupendelea bali uelewe tu vita inaharibu uchumi wa dunia na sio Iran tu wala USA bali mafuta yakipanda na maisha yanakuwa magumu zaidi kwa wote sio huko tu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
te
Kwa hiyo ikiwa kama Libya wewe USA watkuuzia jeans kwa sh 2000 ama
Hujui kuwa machafuko yakitokea huko na wese kwenye daladala itapanda na wewe utalipa nauli ya ziada?
Muwe mna angalia matukio yaliyopita bila ushabiki na maneno ya bla bla tu
Sukari ikifika elfu 10000 ndio utajua

Sent from my iPhone using Tapatalk
team iran hyo
 
Back
Top Bottom