Wananchi tunavyowaza kuhusu suala la Paul Makonda, huenda Rais anawaza zaidi

magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,126
2,000
Wanajamvi salaam,

Tangu taarifa ya katibu wa serikali wa marekani Mike Pompeo kuweka zuio la watanzania kushiriki bahati nasibu ya kuingia Marekani na kumzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda kuingia Marekani, kumekuwa na mijadala mbalimbali hasa kuhusu zuio la Makonda na tuhuma zake ambazo Pompeo amedai wana ushahidi usio na shaka!

Kama ambavyo sisi wananchi tunapata shida,naamini hata Mkuu wa Nchi huenda anapitia kipindi kigumu sana kutokana na Makonda.

Nawaza huenda Rais ana wakati mgumu zaidi hasa kutokana na taswira ya sasa kati ya Rais na Makonda. Rais kwa sasa huwezi kumsikia akimsifia Makonda kama mwanzo, lakini ilitokea Rais alimpita Makonda bila kumpa mkono wakati makonda alijiandaa kwa tukio hilo.

Lugha ya mwili ya viongozi hawa wawili, ipo wazi kuwa kwa sasa hawana uhusiano unaofaa.

Lakini unajiuliza ugumu wa Makonda kuwajibishwa unatoka wapi!? Hapa ndo nadhani Rais anawaza zaidi kutokana na tuhuma za Makonda na jinsi ya kumuwajibisha.

Ugumu unatokana na jinsi Rais alivyomkumbatia makonda kule nyuma, au pengine Makonda na kiburi chake pengine alikuwa anatumwa.

Hofu ya Mteule wa Makonda, akimtumbua atampeleka wapi ili aendelee kubaki na siri kama alikuwa anatumwa.

Sote tunajua elimu ndogo aliyonayo Makonda, ukimuondoa kwenye ukuu wa mkoa ambayo ndiyo nafasi isiyohitaji elimu wala akili nyingi utampeleka wapi Makonda na akaweza kujizuia kubaki na siri?

Lugha ya mwili na matendo ya Makonda huenda huyu kijana ana siri nzito sana na ukimgusa nchi inatikisika.

Rais ameshaonyesha ishara za wazi za kumchukia Makonda ukilinganisha na siku za nyuma.

Kwa jinsi alivyo Makonda, kama alitumiwa ni vigumu sana kumfanya awe raia na akabaki na siri lazima atasema tu.

Hapa labda Wamarekani waje kumchukua wenyewe lakini kwa hapa nchini, huenda Makonda ana siri nzito na hagusiki. Na Rais hata akimchukia vipi, bado atajilaumu kwa kumkingia kifua huko nyuma.

Nawasilisha.
 
Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
12,982
2,000
Wanajamvi
salaam,
Tangu taarifa ya waziri wa mambo ya nje wa marekani Mike pompeo kuweka zuio la watanzania kushiriki bahati nasibu ya kuingia marekani na kumzuia mkuu wa mkoa wa dar paul makonda kuingia marekani,kumekuwa na mijadala mbalimbali hasa kuhusu zuio la makonda na tuhuma zake ambazo pompeo amedai wana ushahidi usio na shaka!.

Kama ambavyo sisi wananchi tunapata shida,naamini hata mkuu wa nchi huenda anapitia kipindi kigumu sana kutokana na makonda.

Nawaza huenda rais ana wakati mgumu zaidi hasa kutokana na taswira ya sasa kati ya rais na makonda. Rais kwa sasa huwezi kumsikia akimsifia makonda kama mwanzo,lkn ilitokea rais alimpita makonda bila kumpa mkono wakati makonda alijiandaa kwa tukio hilo.

Lugha ya mwili ya viongozi hawa wawili,ipo wazi kuwa kwa sasa hawana uhusiano unaofaa.

Lakini unajiuliza ugumu wa makonda kuwajibishwa unatoka wapi!? Hapa ndo nadhani rais anawaza zaidi kutokana na tuhuma za makonda na jinsi ya kumuwajibisha.

Ugumu unatokana na jinsi rais alivyomkumbatia makonda kule nyuma,au pengine makonda na kiburi chake pengine alikuwa anatumwa.!

Hofu ya mteule wa makonda,akimtumbua atampeleka wapi ili aendelee kubaki na siri kama alikuwa anatumwa.

Sote tunajua elimu ndogo aliyonayo makonda,ukimuondoa kwenye ukuu wa mkoa ambayo ndiyo nafasi isiyohitaji elimu wala akili nyingi utampeleka wapi makonda na akaweza kujizuia kubaki na siri!?

Lugha ya mwili na matendo ya makonda huenda huyu kijana ana siri nzito sana na ukimgusa nchi inatikisika.

Rais ameshaonyesha ishara za wazi za kumchukia makonda ukilinganisha na siku za nyuma.

Kwa jinsi alivyo makonda,kama alitumiwa ni vigumu sana kumfanya awe raia na akabaki na siri lazima atasema tu.

Hapa labda wamarekani waje kumchukua wenyewe lakini kwa hapa nchini,huenda makonda ana siri nzito na hagusiki. Na rais hata akimchukia vp,bado atajilaumu kwa kumkingia kifua huko nyuma.

Nawasilisha.
unajua ukuu wa rais ? hawezi kumuogopa makonda, RC is just a nobody, anaweza kumpoteza asitoe hata hiyo unayoiita siri

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
12,649
2,000
Makonda atakuwa ana kitu anachokihold dhidi ya JPM,sio bure!Haiwezekani alindwe mara zote hizo kwa gharama ya taifa zima!Yaani hii nchi iko tayari ikose matrilion ya pesa kwa gharama ya kumlinda Makonda!
Makonda atakuwa kamfanya JIWE ndondocha!
 
Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
12,649
2,000
unajua ukuu wa rais ? hawezi kumuogopa makonda, RC is just a nobody, anaweza kumpoteza asitoe hata hiyo unayoiita siri

Sent from my iPhone using JamiiForums
In this case Makonda is somebody,kuna siri kubwa hapa imejificha!Rais wetu atakuwa ashafanywa ndondocha,sio bure!
Yaani Rais kakaa kimya kuacha manguli wa diplomasia washughulike na WB,kenyewe kanakuja kuwatukana WB na wote wanaotaka watoto watakaojifungua warudi shule kuwa ni wajinga na wapumbav wenye akili ya kuvaa suruali tu!
 
magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,126
2,000
unajua ukuu wa rais ? hawezi kumuogopa makonda, RC is just a nobody, anaweza kumpoteza asitoe hata hiyo unayoiita siri

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa kumuangalia rais na ukuu wake ni rahisi sana kufikiri hivyo km unavyofikiri,lakini mkuu huo ndo uamuzi mgumu zaidi,,!
 
Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
12,982
2,000
Kwa kumuangalia rais na ukuu wake ni rahisi sana kufikiri hivyo km unavyofikiri,lakini mkuu huo ndo uamuzi mgumu zaidi,,!
ngoja tusubiri mkuu tuone mwisho wake, ila kwa ninavomjua stone siku anamtumbua atatoa taarabu nyingi sana na atajisafisha

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
12,982
2,000
In this case Makonda is somebody,kuna siri kubwa hapa imejificha!Rais wetu atakuwa ashafanywa ndondocha,sio bure!
Yaani Rais kakaa kimya kuacha manguli wa diplomasia washughulike na WB,kenyewe kanakuja kuwatukana WB na wote wanaotaka watoto watakaojifungua warudi shule kuwa ni wajinga na wapumbav wenye akili ya kuvaa suruali tu!
kama amesema hivo, something fishy is going on

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
konyola

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
1,781
2,000
unajua ukuu wa rais ? hawezi kumuogopa makonda, RC is just a nobody, anaweza kumpoteza asitoe hata hiyo unayoiita siri
Hujui maana ya kubeba siri eg. umemtoa mwanao kafara na aliyebeba kiwiliwili anaitwa Call me J na anajua ulipoficha kichwa halafu unatakiwa umtumbue usidhani utafanya fasta kama unavyowaza
 
magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,126
2,000
huyu labda apotee katika mazingira ya kutatanisha lakini useme atumbuliwe, haitowezekana asilani!
hakika kabisaa na hata hiyo mbinu km ni kweli ana hizo siri bado ni ngumu sana mkuu, nna hakika mpaka sasa jiwe anaumiza kichwa sana kuhusu huyu dogo. Na pengine hata anajilaumu hata kumtumia kama kweli alikuwa anamtumia!
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
5,400
2,000
Wanajamvi salaam,

Tangu taarifa ya waziri wa mambo ya nje wa marekani Mike Pompeo kuweka zuio la watanzania kushiriki bahati nasibu ya kuingia Marekani na kumzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda kuingia Marekani, kumekuwa na mijadala mbalimbali hasa kuhusu zuio la Makonda na tuhuma zake ambazo Pompeo amedai wana ushahidi usio na shaka!

Kama ambavyo sisi wananchi tunapata shida,naamini hata Mkuu wa Nchi huenda anapitia kipindi kigumu sana kutokana na Makonda.

Nawaza huenda Rais ana wakati mgumu zaidi hasa kutokana na taswira ya sasa kati ya Rais na Makonda. Rais kwa sasa huwezi kumsikia akimsifia Makonda kama mwanzo, lakini ilitokea Rais alimpita Makonda bila kumpa mkono wakati makonda alijiandaa kwa tukio hilo.

Lugha ya mwili ya viongozi hawa wawili, ipo wazi kuwa kwa sasa hawana uhusiano unaofaa.

Lakini unajiuliza ugumu wa Makonda kuwajibishwa unatoka wapi!? Hapa ndo nadhani Rais anawaza zaidi kutokana na tuhuma za Makonda na jinsi ya kumuwajibisha.

Ugumu unatokana na jinsi Rais alivyomkumbatia makonda kule nyuma, au pengine Makonda na kiburi chake pengine alikuwa anatumwa.

Hofu ya Mteule wa Makonda, akimtumbua atampeleka wapi ili aendelee kubaki na siri kama alikuwa anatumwa.

Sote tunajua elimu ndogo aliyonayo Makonda, ukimuondoa kwenye ukuu wa mkoa ambayo ndiyo nafasi isiyohitaji elimu wala akili nyingi utampeleka wapi Makonda na akaweza kujizuia kubaki na siri?

Lugha ya mwili na matendo ya Makonda huenda huyu kijana ana siri nzito sana na ukimgusa nchi inatikisika.

Rais ameshaonyesha ishara za wazi za kumchukia Makonda ukilinganisha na siku za nyuma.

Kwa jinsi alivyo Makonda, kama alitumiwa ni vigumu sana kumfanya awe raia na akabaki na siri lazima atasema tu.

Hapa labda Wamarekani waje kumchukua wenyewe lakini kwa hapa nchini, huenda Makonda ana siri nzito na hagusiki. Na Rais hata akimchukia vipi, bado atajilaumu kwa kumkingia kifua huko nyuma.

Nawasilisha.
Amfungulie kesi ya kutakatisha fedha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bana likasi

JF-Expert Member
Jan 7, 2020
4,927
2,000
hakika kabisaa na hata hiyo mbinu km ni kweli ana hizo siri bado ni ngumu sana mkuu, nna hakika mpaka sasa jiwe anaumiza kichwa sana kuhusu huyu dogo. Na pengine hata anajilaumu hata kumtumia kama kweli alikuwa anamtumia!
Ampe kesi ya uhujumu uchumi au ugaidi aozee jela siri zitakuwa salama
 
Top Bottom