Wananchi tuliombee sana Taifa letu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,980
141,996
Kwa wale tunaofunga Kwaresma sasa na ndugu zetu watakaoingia kwenye mfungo wa Ramadan hivi karibuni niwaombeni tuliombee sana Taifa letu

Ulimwengu unapita katika kipindi kigumu sana kuwahi kutokea
 
Kwa wale tunaofunga Kwaresma sasa na ndugu zetu watakaoingia kwenye mfungo wa Ramadan hivi karibuni niwaombeni tuliombee sana Taifa letu

Ulimwengu unapita katika kipindi kigumu sana kuwahi kutokea
WHY KULIOMBEA TAIFA KWA MSISITIZO? SEMA TUWAONDOE WATAWALA WANAOFANYA TUKAWA NA KIU YA KULIOMBEA TAIFA KWA VILE TAIFA LINAANGAMIA. WAANAGAMIES CCM WANAOLETA MAANGAMIZI YA TAIFA
 
Back
Top Bottom