Niliwahi kuonya kuhusu serikali kuamua kupanua barabara ile bila kutoa huduma zingine za msingi kama hizo , gharama za kupanua barabara hizo si zingeweza kutosha kuwaongezea wananchi hao huduma wanazozitaka ?
Angalia hata hizo karakana za kupanua hizo barabara yaani ziko maeneo ya misitu wanachafua mazingira kabisa kule gharama zake ni kuwa mno kuweka karakana kule hata kama ni karibu na maeneo husika ya kutanua barabara hiyo kesho nitapita njia hiyo mimi mwenyewe nishuhudie
Usisahau digital camera utuwekee picha!
kwani watakuwepo hadi kesho!Usisahau digital camera utuwekee picha!
kwani watakuwepo hadi kesho!
Oyaa!! Msata kuna maji tena mengi sana ya bomba, yanatoka Mto Wami, yanapita Msata then Chalinze.Hivi msata ni jirani zake!? Mara hii alishawasahau kama hawana maji! kazi kweli kweli
sidhani njaa itakuwa imewauma na wamerudi mtaani kujitafutia riziki tena,labda kama watapangiana shifti sawakwani watakuwepo hadi kesho!
Hebu fanya utafiti kama lile bomba kubwa linalopeleka maji Bagamoyo toka mtambo wa Ruvu Juu, linapita Msata. Kama ni hivyo, then ni halali yao kufunga barabara maana wamechoka na upendo wa mama 'boga' ambaye anasuka sana mikeka lakini wanae wanalala chini. Mabomba yapite wapi na maji wapate nani?.Wakisikilizwa watahamasisha vile vijiji ambavyo umeme wa grid ya taifa inavipitia kupeleka umeme sehemu nyingine na wao wakibaki gizaniNa mwisho kabisa inaweza kuwafungua macho watanzania wengi zaidi itakapofika Octoba 2010 kila mmoja akasema "Sidanganyiki".
Oyaa!! Msata kuna maji tena mengi sana ya bomba, yanatoka Mto Wami, yanapita Msata then Chalinze.
Huu uzushi, labda kama wamegomea madudu mengine sio maji.
I see,Oyaa!! Msata kuna maji tena mengi sana ya bomba, yanatoka Mto Wami, yanapita Msata then Chalinze.
Huu uzushi, labda kama wamegomea madudu mengine sio maji.
Nafikiri itafutwe Strategy nyingine ,serikali ishakuwa sugu,Wazee wa iliyokuwa East Africa Corporation walifunga barabara na wakachuniwa vilevile.Masikini wazee wale sijui walifikia wapi na madai yao?Kwa sasa hivi ili kufikisha ujumbe serikali dawa ndo hiyo mnafunga barabara mpaka kieleweke