Wananchi Mkoa Kagera kuweni makini haya makongamano

Well said time will tell, and you will see by ueself.
Nikushauri tu acha kuwa na mawazo mgando kuamini kuwa kila kusanyiko karibia na uchaguzi ni la kisiasa that is a stupid mind na ndio wana kagera hawaendelei wanaendekeza propaganda za siasa.

Niliuliza kusanyiko gani la siasa linawaleta wapinzani wote, na viongozi wa kidini na hata waziri. Pple of your type with negativity ndo mnakwamisha maendeleo.

Weweeeeee, Wekeni hela mezani kwa ajili ya miradi ya maendeleo na siyo makongamano uchwara.
 
Wadau.
Hivi una taarifa kuwa kwa sasa kuitwa 'nshomile' ni kama tusi? Je unajua mpaka sasa kuna baadhi ya watu wanagwaya kutumia majina yao ya asili mfano Kagera,Kigoma nk?
Kwa nini? ..wanaosababisha haya wako nje ya Mkoa wa Kagera wakifanya kazi zao na wakitaka kazi ziendelee wao wakiwa huko huko wanasajili NGOs za mfukoni ,au vikundi kisha wanasafiri hadi Bukoba 'eti' kujadili namna ya kusaidia Bukoba na Kagera ,eti wanapanga keleta mapinduzi ya kiuchumi Kagera. Vikundi hivi hufanya kazi hizi katika nyakati za kukaribia uchaguzi ndani ya CCM au uchaguzi Mkuu tu. baada ya hapo hutawaona tena wala kinachoitwa 'foundation'

Si kawaida yangu kuandika humu mara kwa mara baada ya mambo mnavyoyaona nchini hasa uhuru wa habari.

Nasikitika kwa nini vijana tena wasomi wanatumia elimu yao kuharibu Mkoa huu kupitia agenda za 'kijinga' kwa kuandaa matamasha na makongamano ya kutafuta kura za kisiasa na wakisha maliza wanatokomea.Wanatumia title ya 'BUKOBA' eti kujadili fursa za Missenyi,Kyerwa ,Muleba nk.

Naomba upitie hizi link kwanza
'Bukoba Mpya no 1'
'Bukoba Mpya no 2'
'Bukoba Mpya no 3'

Hayo ni makundi ya CCM na CDM kwa kila upande kuandaa matamasha ya malengo ya ya kutafuta namna ya 'kujiuza' kwa wananchi ila baadaye watimize malengo yao.

Waandaaji wengi 'HAWAISHI' au 'SI WAKAZI' wa Bukoba,wengine hawana hata viwanja hapa Bukoba,wanafikia kwa jamaa zao au hotelini,eti wanajadili namna ya kuendeleza Mkoa wa Kagera.

Nimeanza kuhudhuria makongamno haya tangu 2002 hapa hapa Bukoba na agenda huwa ni zile zile tu,wafadhili ni wale nk...

Nasikitika kwamba hadi naandika haya Mkoa wa Kagera unaporomoka kwa kasi kubwa kimaendeleo. Ukifika Bukoba mjini kisha ukawatazama hawa jamaa na tai zao unaweza kushangaa na kusikitika sana.

Nitaendelea....

Byabato
Nimejaribu kufuatilia hii issue kutaka kujua sababu ya msingi ya huyu mtu mwandishi anayejiita Byabato kuandika kitu asichokijua. Mwanzoni nilifikiri ni mzalendo kweli lakini ukweli ndo huu.

WAMBIE UKWELI WANA JAMII FORUM KWANINI UNA HASIRA NA KONGAMANO HILO.
Ukweli ni kwamba nafikiri huyu ni kati ya wale wandishi wa habari wachache wanaopenda vya POSHO ZA BURE, kwa taarifa za uhakika huyu ndugu yetu anayejiita mwandishi( nasema anayejiita kwa sababu hana ethics za kiuandishi) alikosa POSHO katika kongamano hilo na hasira yote akaamua kuimalizia huku kwa kuwachafua, na sababu za kukosa posho kwanza ni kujialika mwenyewe, lakini pili anataka posho ya nini wakati habari yake haikutoka sehemu yeyote. POSHO kwa wanahabari huwa ni ASANTE TU sio lazima kwasababu kutafuta habari ndo kazi yao wanalipwa na waajili wao kwa kutafuta habari.

HII NI AIBU KWA MTU ANAYEJIITA MWANDISHI WA HABARI KAMA WEWE ALAFU UNAUPOTOSHA UMMA, HUFAI KUWA MWANDISHI WA HABARI. WAANDISHI WA NAMNA HII NDIO KIKWAZO CHA MAENDELEO YA TANZANIA. SHAME ON YOU
 
Ha ha ha ha Mathias bwana!?
Umechanganyikiwa? Ebu niambie Malalamishi yako yooote? Umewahi Fanya lipi kubadirisha mji wa Bukoba?
Eleza kwanza kabla hujatuhumu wenzio.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hao Si wangefanya kongamano la mnyauko maeneo ya Kamachumu Nshamba Rubya Ijumbi na kuona jinsi ya kuongeza saman ya kahawa
Kagera yagera!

Post sent using JamiiForums mobile app
Kwa nini usije ukalifanya wewe?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hivi wewe sasa uliondoka ulisubiri nani aendeleze rudi nyumbani brother jenga bukoba kwanza

Post sent using JamiiForums mobile app
Huyu yuko Bukoba. Nadhani alitaka kuwa mgombea katika mojawapo ya chama kimoja wapo kwa hiyo kwa ujio wa Hawa Vijana ameona tishio Na kurusha maneno yasiyo Na maana.
Bukoba imebaki nyuma sababu ya vichwa ovyo kama hivi.
Acha wenzio wajaribu kuleta mabadiriko. Kuna baraka zote za Mkoa. Wewe endelea kutupigia kelele za majugu CH 10. Ikiwezekana andaa a documentary

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Shida ni vyombo vyahabari havitangazi ipasavyo madudu ya bukoba ningekuwa mwandishi Wa habari ningeonesha stendi kila siku kuoneshwa kukereka,na barabara zilivyo mbovu mbaya na shida nyingi zilizopo tena kwenye vyombo vikubwa ili watu waone na serikali kuu iingilie kati has a stendi kuu na barabara za town ni chakavu sana halmashauri yetu ni jipu lililoiva huku mbunge yupoyupo tu
9dd00004b3a03855c41923e4eed0e9b6.jpg
33a600a843a5f15ab71a62df7243a1f6.jpg
efa436027e132198f94624ded0133582.jpg
66ed639df835f99b7d3bb50ed186e43c.jpg
bc2604951920a7e39bdc7adcc3b88853.jpg
449126787e389795c1bf3f6ef0b5e2e3.jpg
huuuu ndo nshomile city na utajiri walio nao dar

Post sent using JamiiForums mobile app
Ongeza Na hizi Picha
FB_IMG_1499189829817.jpg

FB_IMG_1475945505276.jpg

IMG_20170702_134831.jpg

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • FB_IMG_1475945535074.jpg
    FB_IMG_1475945535074.jpg
    56.4 KB · Views: 39
Serikali itengeneze mazingira mazuri ya uwekezaji hasa mji Wa bukoba ili uwe kitovu cha biashara mkoa Wa kagera
1. Kutengeneza barabara zote muhimu hasa zitokazo vijijini kuelekea bukoba mfano rubya road,kamachumu road,nshamba road,bugabo road,itahwa road,kiziba roads,kanyigo roads,maruku roads,izimbya roads pamoja na minziro roads hali itasababisha usafirishaji Wa bidhaa kutoka vijijini kuwa nzr na kuvutia wawekezaji.
2.kufufua viwanda vilivyokuwepo mfano SBS Pepsi kashai,bukop,bk
3. Ujenzi Wa soko kuu kubwa na zuri mjini bukoba hali itavutia wafanyabiashara na watu kuleta bidhaa zao kuuza kuliko kukimbilia mikoa mingine.
3.usafirishaji mzr kutoka bukoba na mikoa mingine mfano meli kubwa za kuunganisha bukoba na mwz.uwepo Wa reli walau ifikie ngara,na na ushirikiano mzr kati ya mataifa ya Rwanda na Uganda.
4.utengenezaji mzr Wa miundombinu ya manispaa ya bukoba mfano stendi ya mabasi ili kuvutia ongezrko la mabasi,barabara za mjini kuwa nzr,uwekaji Wa taa za barabara na traffic lights, round about nzr,serikali yenyewe ianzishe miradi kama mikoa mingine mfano nssf,lapf,malls
5.kuanzisha kituo kikubwa cha TV ili kuonesha matatizo yaliyopo mkoani humu kwa sababu kutojulikana kwa matatizo serikali inapasau
6.waandishi Wa habari play your part tangazeni na vumbueni matatizo yaliyopo saa nyingine serikali inashindwa kufanya chochote kwa sababu hawajui
7,Mabaraza ya madiwani wajibikeni kuweni wazalendo na maeneo yenu na wabunge pia.
8.wazawa onesheni mfano kwa kuwekeza mkoani kwenu ili mvutie na wengine kuwekeza mfano MTU akijenga shopping mall kubwa itavutia hata wengine kujenga nyingine hivyo kuvutia watu.
9.mfumo Wa usafirishaji mjini bukoba ubadilishwe kuwepo na mfumo Wa daladala wenye bei chini mfano 400 sh ili kufanya watu waone maisha ya watu ni rahisi bukoba hii itavutia watu kuishi bukoba
10.wanakagera kuweni wakarimu na punguzeni kujidai mkiwa pengine mkifanya hivyo mtavutia watu kuishi na kujenga bukoba na kutanua wigo Wa biashara
Mkifanya yote haya mkoa utarudi katika heshima yake acheni sifa sana tengenezeni urafiki na mvutie watu kuwekeza bukoba

Post sent using JamiiForums mobile app
Kelele nyiiiingi sijui mwenzetu umewekeza kwenye maneno au umewekeza kwenye majungu kama kawaida?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hao bk wanachezea akili za watu Kwa makongamano badala ya kuja na hela za kujenga.

Ndiyo yaleyele mtu anaumwa wao wanaweka kikao cha mahala pa kumzika badala ya kutafuta hela za matibabu
Wajinga mmezoea kuletewa hela za bure bure. Fanya kazi lipa kodi, subiri Maendeleo. Pesa za bure ziliota mbawa. Fanya kazi upate kipato. Unataka pesa za bure Wewe Malaya?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kukusanyika na matirshirt machafu haibadili kuwa wanakagera wameutelekeza mji na mkoa.

Mlikuwa wapi tangia ndiyo mnaanza kuja tunapokaribia uchaguzi mkuu ujao!?

Any way, time will tell.
Kwa akili yako Ya kijinga unaweza badili Bukoba kwa lolote?
Wewe kwa Maandishi ya kishenzi unadhihirisha umaskini wako wa akili. Huwezi isaidia Bukoba kwa lolote zaidi ya ombaomba tu. Acha waliokusudia kufanya wafanye Na serikali ya Mkoa imeridhia.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wadau.
Hivi una taarifa kuwa kwa sasa kuitwa 'nshomile' ni kama tusi? Je unajua mpaka sasa kuna baadhi ya watu wanagwaya kutumia majina yao ya asili mfano Kagera,Kigoma nk?
Kwa nini? ..wanaosababisha haya wako nje ya Mkoa wa Kagera wakifanya kazi zao na wakitaka kazi ziendelee wao wakiwa huko huko wanasajili NGOs za mfukoni ,au vikundi kisha wanasafiri hadi Bukoba 'eti' kujadili namna ya kusaidia Bukoba na Kagera ,eti wanapanga keleta mapinduzi ya kiuchumi Kagera. Vikundi hivi hufanya kazi hizi katika nyakati za kukaribia uchaguzi ndani ya CCM au uchaguzi Mkuu tu. baada ya hapo hutawaona tena wala kinachoitwa 'foundation'

Si kawaida yangu kuandika humu mara kwa mara baada ya mambo mnavyoyaona nchini hasa uhuru wa habari.

Nasikitika kwa nini vijana tena wasomi wanatumia elimu yao kuharibu Mkoa huu kupitia agenda za 'kijinga' kwa kuandaa matamasha na makongamano ya kutafuta kura za kisiasa na wakisha maliza wanatokomea.Wanatumia title ya 'BUKOBA' eti kujadili fursa za Missenyi,Kyerwa ,Muleba nk.

Naomba upitie hizi link kwanza
'Bukoba Mpya no 1'
'Bukoba Mpya no 2'
'Bukoba Mpya no 3'

Hayo ni makundi ya CCM na CDM kwa kila upande kuandaa matamasha ya malengo ya ya kutafuta namna ya 'kujiuza' kwa wananchi ila baadaye watimize malengo yao.

Waandaaji wengi 'HAWAISHI' au 'SI WAKAZI' wa Bukoba,wengine hawana hata viwanja hapa Bukoba,wanafikia kwa jamaa zao au hotelini,eti wanajadili namna ya kuendeleza Mkoa wa Kagera.

Nimeanza kuhudhuria makongamno haya tangu 2002 hapa hapa Bukoba na agenda huwa ni zile zile tu,wafadhili ni wale nk...

Nasikitika kwamba hadi naandika haya Mkoa wa Kagera unaporomoka kwa kasi kubwa kimaendeleo. Ukifika Bukoba mjini kisha ukawatazama hawa jamaa na tai zao unaweza kushangaa na kusikitika sana.

Nitaendelea....

Byabato
IMG-20170717-WA0012.jpg

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha ha Mathias bwana!?
Umechanganyikiwa? Ebu niambie Malalamishi yako yooote? Umewahi Fanya lipi kubadirisha mji wa Bukoba?
Eleza kwanza kabla hujatuhumu wenzio.

Post sent using JamiiForums mobile app
Mbona mnalaumiana ndo shida yetu wahaya achana na hayo tupe mlivyojadili mi sikupata nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kelele nyiiiingi sijui mwenzetu umewekeza kwenye maneno au umewekeza kwenye majungu kama kawaida?

Post sent using JamiiForums mobile app
Haya ni majungu au ni maoni we ndo unatatizo Mimi natoa namna ya kutusua kimkoa wewe unasema majungu kumbe nimegundua tatizo la kagera akili ziko hivi nifuatilie nyuzi zangu uangalie na nia gani na mkoa wangu sina nia mbaya mie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kufuatilia hii issue kutaka kujua sababu ya msingi ya huyu mtu mwandishi anayejiita Byabato kuandika kitu asichokijua. Mwanzoni nilifikiri ni mzalendo kweli lakini ukweli ndo huu.

WAMBIE UKWELI WANA JAMII FORUM KWANINI UNA HASIRA NA KONGAMANO HILO.
Ukweli ni kwamba nafikiri huyu ni kati ya wale wandishi wa habari wachache wanaopenda vya POSHO ZA BURE, kwa taarifa za uhakika huyu ndugu yetu anayejiita mwandishi( nasema anayejiita kwa sababu hana ethics za kiuandishi) alikosa POSHO katika kongamano hilo na hasira yote akaamua kuimalizia huku kwa kuwachafua, na sababu za kukosa posho kwanza ni kujialika mwenyewe, lakini pili anataka posho ya nini wakati habari yake haikutoka sehemu yeyote. POSHO kwa wanahabari huwa ni ASANTE TU sio lazima kwasababu kutafuta habari ndo kazi yao wanalipwa na waajili wao kwa kutafuta habari.

HII NI AIBU KWA MTU ANAYEJIITA MWANDISHI WA HABARI KAMA WEWE ALAFU UNAUPOTOSHA UMMA, HUFAI KUWA MWANDISHI WA HABARI. WAANDISHI WA NAMNA HII NDIO KIKWAZO CHA MAENDELEO YA TANZANIA. SHAME ON YOU

Mkuu,kwa sasa mimi niko busy na issue fulani sifanyi tv coverage yapata miezi 4 sasa,kwenye kongamano hilo nilipata barua kabisa lakini sikuwepo. hivi sasa niko katika Ziara ya Mh Rais hapa Ngara,nitakwenda Kigoma pia.Nikimaliza hii ziara nitakujibu vema.Kumbuka mimi sijifichi natumia jina langu halisi,kama unao ubavu njoo na jina lako kama mimi,lakini nitakujibu.

Pia hoja yangu haikujikita katika kongamano lenu bali ujumla wa matukio mengi.
 
ACHA KUDANGANYA JAMII TUNAJUA MCHEZO WOTE IWEJE UANZE KULIZUNGUMZIA HILI BAADA YA KONGAMANO LA BUMEI NA HIZO PICHA. ANYWAY TUYAACHE TUSUBIRI MWISHO WAKE, MTAUMBUKA WENYEWE TUMIA KALAMU YAKO KWA MANUFAA SIO KUPOTOSHA JAMII
 
Back
Top Bottom