TANZANIAYANGUKWANZA
Member
- Jul 16, 2017
- 13
- 9
WELL SAID TATIZO WAHAYA WANAFIKI NDUGU UKITAKA KUANZA BIASHARA UTAPIGWA VITA HATARI,
Ona sasa aibu hiyo yote halafu leo wanakuja na mit-shirt kama madekeo ya chooni eti bk Mpya yaani kwa kweli watu wengine ni wa kuchapa viboko.
MAFUNZO YA MNYAUKO NA NAMNA YA KUEPUKANA NAO VILITOLEWAHao Si wangefanya kongamano la mnyauko maeneo ya Kamachumu Nshamba Rubya Ijumbi na kuona jinsi ya kuongeza saman ya kahawa
Kagera yagera!
Post sent using JamiiForums mobile app
HIVYO NI VIASHIRIA VYA UZEMBE NA UVIVU WAHAYA BADIRIKA NI ULIMBUKENI HUOHivi kwa nini siasa ni kubwa mno kuliko maendeleo bk
Post sent using JamiiForums mobile app
Anzisha tu kwenu ni kwenu wangapi wameanzishaWELL SAID TATIZO WAHAYA WANAFIKI NDUGU UKITAKA KUANZA BIASHARA UTAPIGWA VITA HATARI,
Kwenye karne ya 21 unapanda basi la ukabila? hovyo kabisa.wewe kumbe ni mhaya, nadhani wewe ni mjamaa wa bulembo
KABLA YA KUWALAUMU WEWE UMEFANYA NINI ANGALAU?
Unaizungumzia moshi ipi? Stend ya moshi unaijua vizuri? Umewahi kuona barabara mbovu moshi mjini? Ikifikia huko tutaiomba serikali iache kutuwekea lami vijijini irudi ikarabati mji wa moshi hatutaki aibu za kijingaUmeeleza vizuri ila umekosea kutaja Mji wa Moshi. Moshi ni mji uliochoka hata kuliko Bukoba.
Post sent using JamiiForums mobile app
Unaizungumzia moshi ipi? Stend ya moshi unaijua vizuri? Umewahi kuona barabara mbovu moshi mjini? Ikifikia huko tutaiomba serikali iache kutuwekea lami vijijini irudi ikarabati mji wa moshi hatutaki aibu za kijinga
Post sent using JamiiForums mobile app
hovyo wewe na uzao wako wa Lumumba, akili finyu. Kabila ni chimbuko langu siwezi kulitupa! That is the inside of me! But I will not entertain it when we come to national interest, but at individual level nitautukuza.Kwenye karne ya 21 unapanda basi la ukabila? hovyo kabisa.
Umeona hizo picha za madimbwi ya maji? Moshi umewahi kuyaona kwenye stendi zake zote mbili?Haaaaa Haaaaa Haaaaa Haaaaa teeeh teeeh teeeh, Yesu na Maria haki aibu siyo kizuri Bwashee lazima ukatae.
Umeona hizo picha za madimbwi ya maji? Moshi umewahi kuyaona kwenye stendi zake zote mbili?
Post sent using JamiiForums mobile app
Sasa Ile billion na nusu aliyopewa mzee wa vijisenti siingetosha Kabisa kuifanya stendi iwe ya kisasa Kabisa? Ninachokiona hawa watu wanapenda sana siasa za matambo kuliko mkoa wao ona kama huyo kijana namwonaga itv malumbano ya hoja naona tangia kipindi kimepunguza washiriki ameamia bukoba kuwadanganya wahaya angekua na nia ya maendeleo angeanzia hapa Dar walipo matajiri wa kihaya akaitisha arambeee kuchangisha ela then akapeleka Kule kianzio sio kwenda na matisheti kwenye mambo yanayohitaji ela waache usaniiHao bk wanachezea akili za watu Kwa makongamano badala ya kuja na hela za kujenga.
Ndiyo yaleyele mtu anaumwa wao wanaweka kikao cha mahala pa kumzika badala ya kutafuta hela za matibabu
Bukoba tatizo lililopo ni miundombinu yake kazi ya serikali.lakini kivingine bukoba inazidi miji mingi sana tzUmeona hizo picha za madimbwi ya maji? Moshi umewahi kuyaona kwenye stendi zake zote mbili?
Post sent using JamiiForums mobile app
of course kuna upotoshaji mkubwa sana kwa watu hasa vijana wapale bukoba mjini juu ya kongamano letu. Guys tusifw moyo kwani hiyo ndo kasumba ya mhaya lwango kamunobele ndo jadi yetu. we should grow in success and not merely jumping into success. Hao wanaotuchafua jamiiforums hawajui dhamira yetu ya dhati. Tumeshalianzisha na haturudi nyuma. Let our actions speak louder than words. Tushikamane tusonge mbele maana wengine kama mimi tushazoea such kinds of kejeli. Lazima tuwe na ngozi ngumu na roho ngumu ya kuhimili such kind of people of which ndo majority kwa bukoba. We should be resilient for whatever comes around. Mungu azidi kutupiganiaKAKA YANGU MATHIAS NAKUHESHIMU LAKINI KATIKA HILI NAONA WEWE NI MMOJA WAPO WA VIKWAZO VYA MAENDELEO MKOANI KAGERA. NINAZO SABABU ZA KUTAMKA HIVYO
1. MIMI MKAAZI WA MKOA WA KAGERA KUTOKA KYAKA AMBAYE NIMEHUDHURIA KWA SIKU ZOTE MBILI NIMEWEZA KUJIFUNZA MENGI AMBAYO SIJAWAHI KUYAPATA KATIKA MAKONGAMANO AMBAYO NIMEKUWA NIKIHUDHURIA MKOANI KAGERA
a) Waaandaji wa kongamano hili asilimia kubwa ni vijana wadogo sana kiumri lakini wameonyesha uzalendo. Naomba utupe ushahidi kuwa hawa vijana ni matapeli.
b.) mimi na wewe tumeshiriki ktk kongamano hili, na tumewasikia wakitamka wazi sio kongamano la kidini wala sio siasa na ndio maana limeundwa na vijana wa itikadi tofauti na walio alikwa walikuwa watu wa itikadi tofauti wakiwemo wabunge wa mkoa wa kagera, viongozi wa dini, na mkuu wa mkoa kama mgeni rasimi, wenyeviti wa halmashauri zote za mkoa w kagera, wakuu wa wilaya na wakurugenzi na mwisho alikuja mheshimiwa waziri Mwijage. Naomba utuhakikishie utapeli gani unafanyika kuwaleta viongozi wa serikali na wa itikadi tofauti za kisiasa na kidini?
Nilichojifunza kama mshiriki mkoa wa kagera hautawezi kuendelea kama baada ya kuwapongeza kwa hata kilichofanyika na kuwatia moyo tena wewe kama mwanahabari na mwanakagera mwenye nia thabiti ya kupambana na umasikini ktk mkoa wetu.
TATIZO LA WAHAYA NI WANAFIKI, KUTOPENDA KUSSUPORT MAENDELEO NA KUTOKUWA WAZALENDO WA MKOA WAO KWAHIYO INAPOTOKEA FURSA KAMA HIZI TUACHE KUKURUPUKA KUPOTOSHA JAMII KWA KUTUMIA TAALUMA ZETU.
BINAFSI NIMEFANYA SHUGHULI NYINGI NA WAANDISHI WA HABARI NINACHOKIONA KTK ANDIKO LAKO KWA HARAKA HARAKA NI KUPIGANIA MASILAI BINAFSI, MMEKUWA NA TABIA YA KUOMBA KULIPWA WAKATI NI SEHEMU YA KAZI YENU, SINA UHAKIKA KAMA TAALUMA INAKURUHUSU HIVYO.
WEWE KAMA MWANDISHI MKONGWE UMEUFANYIA NINI MKOA WAKO KWA KUPITIA TAALUM YAK0 NA UZALENDO WAKO KAMA MZAWA. KWA KU UTHIBITISHIA UMMA WANA KAGERA YA KUWA SISI NI WANAFIKI WANAACHI WA MANISPAA YA BUKOBA USHIRIKI WAO ULIKUWA NI 0.1% WAMEZIDIWA NA WATU KUTOKA WILAYA NYINGINE. TATIZO KUBWA MNAFIKIRIA SIASA WAKATI WOTE NA WEWE UKIWEMO NA NDIO MAANA UNAKUWA NA MAWAZO MGANDO.
TUACHE UNAFIKI TUWE WAZALENDO, NILIFIKIRI UMEELIMIKA KUMBE NA WEWE UMEISHA ATHIRIKA NA UNAFIKI WA WANA BUKOBA. MCHAWI WA MAENDELEO YA KAGERA NI SISI WENYEWE
MWENYE SIKIO NA ASIKIE.
HUNA HOJA LAKINI UJUMBE UMEFIKASiwezi disclose nilichofanya maana hii ni jf ya kila mmoja.
Ila unapoandika, hebu andika vizuri hasa kwa kutumia herufi kubwa mwanzoni mwa sentensi na herufi zinazofata tumia herufi ndogo.
HUNA HOJA LAKINI UJUMBE UMEFIKA
Well said time will tell, and you will see by ueself.Kukusanyika na matirshirt machafu haibadili kuwa wanakagera wameutelekeza mji na mkoa.
Mlikuwa wapi tangia ndiyo mnaanza kuja tunapokaribia uchaguzi mkuu ujao!?
Any way, time will tell.