Wananchi Mkoa Kagera kuweni makini haya makongamano

Msikilize hapa mkuu wa Mkoa Kagera Salum Kijuu anachosema.Kisha wale wanaongea kama wazalendo na kunituhumu vipi kuhusu kauli hii ambayo aliongelea wakati akifungua kongamano lenu hilo?
 
Kwa haya tunashukuru lakini stendi bado ni kero.utarekebishaje chumbani au jikoni wakati sebule ya havyo mkitengeneza stendi watu watawaelewa maana ni sebuleni sehemu inayopata wageni

Sent using Jamii Forums mobile app

Stend iko kwenye plan ila nilisikia baada ya kodi za makazi kutolewa kutoka halmashauri kwenda serikali kuu imearibu mipango
 
Sukrani sana kwa hizi picha,wengine wanafikiri ni suala la utani. Mkoa wa Kagera unaharibiwa hasa na watu wasio wa hapa kagera..fikiria wabunge wote wa Mkoa huu hakuna hata mmoja anayeishi Kagera au kufanya kazi Kagera,wanakuja kama wageni kuomba kura tu au kutembelea jamaa zao.
Nani alaumiwe katika hili? Wananchi waliopo kagera
wanatakiwa wajitathimini.Si rahisi mtu wa kagera anayeishi
Dar au Mbeya aje kuhangaika na barabara wakati hakai huko.

Kuna tatizo jingine ambalo halisemwi na hili
linachangia kwa kiasi kikubwa watu kutojihusisha
na maendeleo ya kwao na hili ni kuwabagua
Pindi wanapoletwa au wamefariki ili kuzikwa au kuleta ndugu zao.
unakuta wanabaguliwa kwamba huwa hawashiriki
kwenye misiba,hivyo nao ushiriki unakuwa mdogo.
Sasa chukulia ndugu wa huyo au watoto wa aliyefariki
hata kama wana uwezo watajihusisha na maendeleo
ya kijiji hicho, wakati walibaguliwa walipokuwa na msiba?

Mi naona maendeleo ya kweli yataletwa na wakazi
wa bukoba kwa kutafuta ni nini chanzo cha kukwama
na kujifunza kutoka mikoa mingine,hapo lazima pabadilike.
 
Tatizo in baadhi yetu hasa waishio nje ya mkoa unapozungumzi shida ya nyumbani,ndio wa kwanza kukandia.siku moja niliandika jukwaa fulani ubovu wa barabara ya Katoma( kipande kilichokuwa bado kukarabatiwa)- Kanyigo- Kashenye,kidogo wanitoe macho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msikilize hapa mkuu wa Mkoa Kagera Salum Kijuu anachosema.Kisha wale wanaongea kama wazalendo na kunituhumu vipi kuhusu kauli hii ambayo aliongelea wakati akifungua kongamano lenu hilo?

AAADFGGFC
Msikilize hapa mkuu wa Mkoa Kagera Salum Kijuu anachosema.Kisha wale wanaongea kama wazalendo na kunituhumu vipi kuhusu kauli hii ambayo aliongelea wakati akifungua kongamano lenu hilo?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom