Wananchi Mbeya mnapoteza golden chance ya kumhoji Rais juu ya alipo Mdude Nyagali CHADEMA

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
15,812
Reaction score
40,297
Wana mbeya hususan pale Vwawa alipoishi Mdude mlitakiwa mje na mabango mengi sana Maelfu kwa maelfu mkimuulizia mdude na wote waliopotea.

Tanga na nyie sijui kama ccm wamefika huko kwenye kampeni zao ila kama hawajafika msifanye makosa waliyoyafanya mbeya.

Andaeni mabango mpite mbele ya rais mumuulizie Mzee soka. Kila la heri.
 
Sio lazima Mbeya hata wewe siku Samia akifika mkoani kwako andaa mabango kuhusu Mdude alafu sogea nayo pale.
 
Wana mbeya hususan pale vwawa alipoishi mdude mlitakiwa mje na mabango mengi sana ma elfu Kwa maelfu mkimuulizia mdude na wote waliopotea Tanga na nyie sijui kama ccm wamefika huko kwenye kampeni zao ila kama hawajafika msifanye makosa waliyoyafanya mbeya. Andaeni mabango mpite mbele ya rais mumuulizie Mzee soka. Kila la heri.
Huu ni udhaifu na utengano. Yeyote na wa mahala popote anaweza kuhoji.
 
Moderators mnaharibu makusudi heading za wapenda haki ili kuchepusha maana kusudiwa; Mimi nimeandika mbeya na nimethibitisha sijakosea Wala typo nyie mmeniandikia mbeys sio sawa badilisheni heading yangu isomeke mbeya.
 
Ila Kiongozi wewe ni Mchonganishi Sana, yani hautaki na wao waendelee kuishi na familia zao??!!! Ilo bango akitoka nalo Home hata Hatua 20 Hatozimaliza atakuwa tayari kwenye mikono salama au bassssss
 
Badala ya kujibiwa alipo huyo Mdude, Bali watapelekwa alipo wakaungane nae

We huogopii? 😢😢😢😢
 
Wana mbeya hususan pale Vwawa alipoishi Mdude mlitakiwa mje na mabango mengi sana Maelfu kwa maelfu mkimuulizia mdude na wote waliopotea.

Tanga na nyie sijui kama ccm wamefika huko kwenye kampeni zao ila kama hawajafika msifanye makosa waliyoyafanya mbeya.

Andaeni mabango mpite mbele ya rais mumuulizie Mzee soka. Kila la heri.
Sasa nyie chadema mmeshindwa kuandaa hayo mabango hadi muwatume wana CCM?
 
Wana mbeya hususan pale Vwawa alipoishi Mdude mlitakiwa mje na mabango mengi sana Maelfu kwa maelfu mkimuulizia mdude na wote waliopotea.

Tanga na nyie sijui kama ccm wamefika huko kwenye kampeni zao ila kama hawajafika msifanye makosa waliyoyafanya mbeya.

Andaeni mabango mpite mbele ya rais mumuulizie Mzee soka. Kila la heri.
Samia ni Polisi?
 
Back
Top Bottom