Wananchi kwa Maelfu wahudhuria mikutano ya CCM, Singida Mjini na Nungwi, Unguja

Mkuu unajichanganya sana!Haukuwepo kwenye mkutano wa Zanzibar wewe!!Wewe upo Singida na hizi picha za Zanzibar umeletewa tu!Kwa taarifa yako mkutano wa Zanzibar uliambatana na UGAWAJI wa PILAU ili kuwaleta watu kwenye mkutano!

ALIYEKULETEA PICHA ZA ZANZIBAR MUOMBE PIA AKUONGEZEE PICHA za waliokuja kula ubwabwa!
teh teh, kweli nchi hii tuna safari ndefu yaani, harua na pilau zinawapeleka waunguja kwenye mkutano duh...
 
Ndugu, ninakuomba wewe unisaidie hizo picha kwa vile ulikuwepo kwenye mkutano.

Mimi nimeleta kile kilichokuwepo katika mkutano wa CCM, Nungwi, Unguja.

Kwa hiyo ulijigawa kuwepo Singida na wakati huo huo kuwepo Nungwi-Unguja?Mkutano upi hasa ndiyo wewe ulikuwepo na upi picha zake ulitumiwa?
 
Kwa hiyo ulijigawa kuwepo Singida na wakati huo huo kuwepo Nungwi-Unguja?Mkutano upi hasa ndiyo wewe ulikuwepo na upi picha zake ulitumiwa?
Ndugu, suala la mimi nilikuwa wapi wala lisikusumbue, wewe weka picha kama mchango wako katika kuielewesha na kuipasha habari jamii wa wanaJF. Nje ya hapo ni longo longo
 
Ndugu, suala la mimi nilikuwa wapi wala lisikusumbue, wewe weka picha kama mchango wako katika kuielewesha na kuipasha habari jamii wa wanaJF. Nje ya hapo ni longo longo

Wewe ni mpiga propaganda tu!Unatuhabarisha habari za Kinana kila siku lkn leo hii unataka tuamini kama pia ulikuwepo Nungwi!

Ya Zanzibar umeambiwa tu lkn aliyekuambia likely hakukuambia kama wasikilizaji walipewa ubwabwa
 
NAPE AKIWA RAISI WA TANZANIA NI BORA MTU AJITAHIDI AHAME NCHI kulioko KUSHUHUDIA KASHFA ZINAZOEPUKIKA
 
Hiyo anayosema sio hofu ya ccm kweli..kwamba wakitunga katiba inayobana sawa sawa utafanyika uchaguzi makini kama wa malawi..
 
CCM ni wakandamizaji wa maendeleo ya kisiasa nchini.Kigoma mmepiga marufuku mikutano ya UKAWA.Hamna jipya tumewachoka.
 
Wewe ni mpiga propaganda tu!Unatuhabarisha habari za Kinana kila siku lkn leo hii unataka tuamini kama pia ulikuwepo Nungwi!

Ya Zanzibar umeambiwa tu lkn aliyekuambia likely hakukuambia kama wasikilizaji walipewa ubwabwa
Naona suala la chakula umelishikia bango!.

By the way, toka lini chakula kikawa ni jambo la ajabu. Kama kuna wananchi walikula chakula kama unavyodai, sioni kama ni jambo la ajabu. Hayo ni maamuzi na mapenzi yao lakini kitu cha muhimu ni msingi wa hoja iliyowapeleka kwenye mkutano.
 
CCM ni wakandamizaji wa maendeleo ya kisiasa nchini.Kigoma mmepiga marufuku mikutano ya UKAWA.Hamna jipya tumewachoka.
Ndugu, Kwanza siamini kama mikutano ya UKAWA imepigwa marufuku lakini vile vile CCM haiingilii utendaji wa government law inforcement agency.

Pili, Kazi ya CCM ni kuisimamia serikali yake kuhakikisha Ilani yake ya uchaguzi inatekelezwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom